Transfer TCU leo jioni

Transfer TCU leo jioni

kwani walijibu kwa sms au wameamua kutoa hivyo hivyo bila cha sms
 
Habari wakuu,

Daa! Nchi yetu ni noma hawa jamaa wa TCU vp mbona hawatoi afu wanapiga calender kwa sasa npo TCU afu naambiwa leo jion cjui kama watatoa tumuombe MUNGU!

vipi jaman kuhusu mkopo wetu make ulikuwa ushapelekwa kweny vyuo vya mwanzo ""itachukua mda gan kuuhamisha?
 
yap inapendeza asanten kwa ushrkiano 2dumixhe love& peac 4ever bt atakaye pata sms za noticfctn toka tcu a2julxhe hum jf
 
Back
Top Bottom