Transfer to another univercity

Transfer to another univercity

NICK WA 16

Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
26
Reaction score
3
Hii ikoje wakuu natafuta link hiyo sipati nataka kuchek possibiliy ya kuhama chuo?
 
kwa jinsi ulivyoandika hiyo heading hata ukiahama chuo huwezi kufanikiwa. We bado ni kilaza tu.
 
Hii ikoje wakuu natafuta link hiyo sipati nataka kuchek possibiliy ya kuhama chuo?

Univercity?????
Possibiliy??????
Unataka kuhama chuo kwa kupitia "link"?????
Mwanangu yupo darasa la nne hana akili mbovu kama yako.
 
Back
Top Bottom