Transfer

bekadula

Member
Joined
Oct 11, 2014
Posts
38
Reaction score
0
Assalaam alaykum jamani vipi kuhusu transfer mbona wametoa wa medical tu sisi wengine vipi mbona wametuacha kwenye mataa mwenye taarifa atupe
 
Sasa je walisema kua those successful transfered will be notified through their phone numbers so watafanya ivo au
 
mbona sheeedah sana subira ya vuta heli bt ngoja ngoja yaumiza ma2mbo sa kwa walio kata tamaa kama mimi 2tafuten cha kufanya manake mwaka mzima co mchezo
by mtazamo 2 co topic
 
mbona sheeedah sana subira ya vuta heli bt ngoja ngoja yaumiza ma2mbo sa kwa walio kata tamaa kama mimi 2tafuten cha kufanya manake mwaka mzima co mchezo
by mtazamo 2 co topic

Kwan wewe ulpangiwa chuo gan na unataka transfer ya kwenda wap
 
jamani mnisaidie hili,mwanzoni nilichaguliwa st joseph coz ya BEISNE ila kulingana na ada kubwa nikaomba transfer kwenda DUCE lakn hadi sasa sijaona lolote kutoka TCU sasa najiuliza kwamba nipige chini mwaka
 
nasikia UDSM wametoa 8-10 batch mkuu fatilia
 
kwani hao wa udsm batch 8-10 ni pamoja na walioomba transfer?tuambie mkuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…