Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Assalaam alaykum jamani vipi kuhusu transfer mbona wametoa wa medical tu sisi wengine vipi mbona wametuacha kwenye mataa mwenye taarifa atupe
tuvumilie hyo j3 ifke
Sasa je walisema kua those successful transfered will be notified through their phone numbers so watafanya ivo au
mbona sheeedah sana subira ya vuta heli bt ngoja ngoja yaumiza ma2mbo sa kwa walio kata tamaa kama mimi 2tafuten cha kufanya manake mwaka mzima co mchezo
by mtazamo 2 co topic
jamani mnisaidie hili,mwanzoni nilichaguliwa st joseph coz ya BEISNE ila kulingana na ada kubwa nikaomba transfer kwenda DUCE lakn hadi sasa sijaona lolote kutoka TCU sasa najiuliza kwamba nipige chini mwaka