Transfers Talk Special Thread 2017/18

Transfers Talk Special Thread 2017/18

Manchester united wanamatumaini yq kumsajili Gareth bale endapo hatacheza final ya UCL

source: gazzete de sport
 
Manchester United imepanga kutoa euro milioni 15 kwa winga wa Inter Milan Ivan Perisic
 
klabu ya Lyon imejipanga kutoa euro milioni 12 kwa fowadi wa Bayer 04 Leverkusen Chicharito
 
c36b500d973da6cc81b8f5eb72ac70a5.jpg


Hongereni Arsenal.
 
kipa wa Sunderland Pickford yupo kwenye rada za kocha wa West Ham Slaven Bilic
 
Rufaa ya Atletico madrid dhidi ya adhabu yao ya kutokusajili yakataliwa
 
Monaco wanaongoza mbio za kuisaka sign ya Mahrez
 
Club ya Benfica imethibithisha kumuuza kipa wake Ederson kwenda Manchester city kwenye deal linalogharimu Pound mil 34.9
 
Manchester United imekataa ofa ya paundi milioni 60 kutoka kwa Real Madrid kwa ajili ya kupata saini ya De Gea
 
Arsenal wamejiunga na timu nyingine kufukuzia saini ya Mbappe kutoka AS Monaco
 
klabu ya Liverpool inahusishwa kumchukua winga wa Roma Mohamed Salah
 
Back
Top Bottom