Hio si tatizo ni kuangalia sheria na kanuni zasemaje na kurekebisha ni kazi ndogo sana.
Labda kama unavyosema kuhusu maslahi.
Ila vyuo hivyo vyahamishiwa wizara ya elimu, sayansi na teknolojia kisha chaundwa chuo kimoja cha biashara Tanzania, Business School.
Hivyo kwanza kutapunguza gharama za uendeshaji, baadhi ya majengo yatakuwa ni vitega uchumi vitavyoleta pesa, kuna kuwa na chuo kimoja kinotambulika Afrika na Duniani na kitaweza kuanzisha mahusiano na vyuo vingine vya biashara duniani ili kupata ujuzi zaidi na maendeleo ya teknolojia na office automation.
Hivyo Mzumbe, IFM na CBE vinakuwa affiliitate na UDSM na kozi zinakuwa simplified na kozi zingine kuziangalia kama zaendana na mahitaji kisha zafutwa.
Nasi tunakuwa na Havard yetu au vipi mkuu?