Tetesi: Transforming IFM into the University of Management & Applied Science

Another problem into problem..

Hatuhitaji hivi vyuo kwa Sasa...

Vocational education was the way,
Haya mambo ya kufundisha watu course za kuja kuzurura mtaani ni kuwapotezea vijana muda , Seriously ...
Hazina maana yeyote.
πŸ˜€
 
Bwashee hivi vyuo vya IFM, CBE, IDM- Mzumbe, DIT na DSA vilianzishwa mahususi kabisa licha ya kuwepo vitivo vinavyofanana navyo pale The Hill- UDSM

Kwa misingi ya kuanzishwa kwake hivi vyuo ukiviunganisha havitaleta Tija yoyote

Kwa mfano CBE Msingi wake ni kutoa Wabobezi wa Masoko na Wataalam wa Vipimo

IFM Msingi wake ni kutoa Wabobezi wa Fedha na Usimamizi wa Kodi pia Social Security

IDM Msingi wake ni kutoa Wabobezi wa Uongozi katika fani za Utawala wa taaluma

Kimbinu hivi vyuo ni tofauti kabisa

Usiku ulale Unono πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
IAA + CBE + IFM = University of management and applied Science
 
umeeleza vizuri, inawezekana kabisa. rwanda walifanikiwa kwa kuunganisha vyuo vidogo vidogo na kuwa na rwanda University
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…