Translator

Translator

mlimbwende

Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
74
Reaction score
26
Anahitajika mtu wa kufanya translation vizuri kutoka kiswahili kwenda kingereza kwa bei poa. Mimi niko Arusha ila hata kama uko Dar es salaam tunaweza kukubaliana
 
Hello mku, hii offer bado iko valid?? naomba unijulishe tafadhali..nina ujuzi kwa hili. Shukrani
 
Anahitajika mtu wa kufanya translation vizuri kutoka kiswahili kwenda kingereza kwa bei poa. Mimi niko Arusha ila hata kama uko Dar es salaam tunaweza kukubaliana

MIMI NI MFASILI. NIMEBOBEA KATIKA UHAULISHAJI MATINI MBALI MBALI.KAMA WAFASILI HAO BADO WANAHITAJIKA TUWASILIANE.taleitz@gmail.com
 
Mimi ni Translator mwenye uzoefu wa maeneo yote ya ufasiri: Legal, Educational, Business, Aesthetic, Educational, n.k Niandikie kwenye globalcorporatec@gmail.com
 
Back
Top Bottom