Habari wana JF,
Hivi translators wa english-swahili kwa hapa tanzania wanapatikana wapi wandugu?
I mean kama kuna chama au organisation yeyote kuhusu mambo hayo.
Binafsi nafanya kazi hiyo, natafuta sehemu nipate kitu kama workshop ili kupanua uelewa na mbinu za kazi hii but cjapata.
ANY ONE WITH ANY CLUE?
mapenzi yangu