Transparency International: Some Members of EAC Bloc are Real Disappointing


yaaa, hiyo ndiyo hoja. mafungu yalitumika kinyume na sheria ya fedha ya mwaka husika. lkn kusema zimeliwa hiyo hoja hata CAG anashangaa imetokea wapi!!!?
 
yaaa, hiyo ndiyo hoja. mafungu yalitumika kinyume na sheria ya fedha ya mwaka husika. lkn kusema zimeliwa hiyo hoja hata CAG anashangaa imetokea wapi!!!?
kama hayajawa accounted for it means yametumika isivyo.......


and if thats the case, kwamba matumizi yake hayajulikani, ina maana hatujui zimetumikaje!.......


vitu kama hivi vitaharibu mno legacy ya magufuli, hela ya serikali huwezi kuigawa utakavyo wewe.... ndio maana kuna budget.......


sasa mambo ya wizara ya ajabu ajabu kupewa zaid ya 200% na zile za msingi kama elimu,kilimo,mifugo,utalii,afya, maji zinapewa chini ya 50% sidhan kama ni sahihi.........


sidhan kama kuna utashi wa kiasiasa kuikwamua nchi kutoka kwenye umaskin uliotopea!
 
Rubbish rubbish. Source of data is not from Tanzania
 
Rubbish rubbish. Source of data is not from Tanzania

Ahaaa haaa haaa
watakuja na hoja ya kuwa wao ndo supa pawa pia mido inkamu.

huku ikiporomoka vibaya kwenye viwango vya kula milungila.
 
nimeona comment kadhaa za watu kushutumiana ktk nchi zetu izi za EAC hasa Tz na Ke , binafsi nilifikiria wadau mjadiliane kuhusu mambo kadhaa ndani ya EAC mfano free movement, political federation (hasa hili maanda ndio tunaelekea hapo), free tariff ni kama imeshindikana kwa nchi zetu izi za EAC
 

Ahaaa haaa haaa
tunajadilia sana, lkn tatizo la members wengine are always have the ulterior motives towards any piece of proposal tabled.
 

Kutumika isivyo ni tofauti na kuliwa mzee sawa???
Hata marekani kinachoendelea sasa kati ya trump na serikali yake ni hilo swala la dharula la ujenzi wa ukuta.

Baraza la serikali haliafiki matumizi nje ya bajeti,trump anataka apitishe hilo kama dharula,kibabe kaamua kufunga na shughuli za serikali.

Kuiiba hela tz awamu hii haiitaji tu kwamba uwe na ujasiri lakini pia na kichaa uwe nacho.kila mtu hamuamini mwenzie,kuna mtu alitegemea CAG angetoa tamko wakati huu!!!
 
hela ambayo haionekani kwenye vitabu vya kiuhasibu vya serikali inakua imeenda wap?........


kumbuka CAG hatakiwi kusema hela imeibiwa mana hana mamlala hayo......


ila ile kauli ya kusema fedha kiasi flani serikali inashindwa kuonesha jinsi ilivyotumika, na haionekani kwenye vitabu vya uhasibu vya serikali maana yake nini???


NB. magufuli na inner circle yake hutakiwi kuwaamini sana maana wao pia ni binadamu kama kina lowasa,chenge,kikwete,mkapa, n.k n.k.................
 
Ati kenyan lives are.....ntajifanya.sjaskia[emoji87]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshuta sense.bro,Tz is also corrupt sijui mbona you only see kenya,diffrnc ni government yenu ina controll kila staff so mtajua aje ulweli ka hadi news wana control

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True pia Tz zimeibwa mingi sana ni vile press haina strength ya kuja mbele na kusema facts,but you equally corrupt as us,kubali ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tz hamna Democracy muna feediwa chenye magu wants,ndo hawachoche venye anafanya kazi,mbna msikuwe na freedom of media

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…