Transport infrastructure in Kenya

Heaven man IAM A PATRIOTIC KENYAN CITIZEN WHO WILL DO NOTHING BUT DEFEND MY COUNTRY KENYA,WHICH STANDS TALL IN THE LEAGUE OF NATIONS
 
Yule kiokote alisema ooh thika highway nimempa za hii bypass akachana mbuga! HEHE.Kweli waTZ mna wazimu lukuki!
 
Kama ni kiswahili ni chetu sisi,nyie hamna la kutuambia.Ubaradhuli tu ndo mlio nao,mwateta na shengesha na longolongo zenu huku sisi twaenda teketeke mbele.....Yaani hiyo picha nilioupload hapo juu mtasema ni ya Chicago,kumbe ni humu mwetu Nairobi.
 
Nyie msiopendana na wazungu ndo hawa kwenye Southern Bypass msije mkateta eti ndio waloujenga huu muundo mbinu


















source
 
wajua dongo kundu bypass,port reitz to MIA na the dualling of MSA-MKI zajengwa wapi?wajua Kondele iko wapi?

Anajua Eastern and Western bypasses za Norrh Rift zinajengwa wapi???
 
Mbona hizo hata Dar tunazo. Leteni za kule kakamega, nyeri etc
 
Anajua Eastern and Western bypasses za Norrh Rift zinajengwa wapi???
hawa jamaa ni bure kabisa...wanaona Kenya kwa picha alafu wanakuja tapika kenya ni nai pekee yake.
 
Mbona hizo hata Dar tunazo. Leteni za kule kakamega, nyeri etc
Dar mko na izi?...ni hiyo mwendokasi ya peni mbili tu.hamna chochote cha maana dar.Her infrastructure is so pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…