Mkuu mbona unachukia sana chama cha ccm..😀😀😀😀😎Tzn kupata miundombinu ya kisasa kama hiyo huko kwenu kenya labda kizazi cha ccm kife.Dar nzima barabara pekee za kisasa ni Sam Nujoma road na interchange ya kuingia daraja la kigamboni.Kwa jinsi wabongo tunavyoongea tungekuwa na vitu vikali kama vyenu wakenya mungekoma unfortunately penye miti hakuna wajenzi.