Transport infrastructure in Kenya

Transport infrastructure in Kenya

Tzn kupata miundombinu ya kisasa kama hiyo huko kwenu kenya labda kizazi cha ccm kife.Dar nzima barabara pekee za kisasa ni Sam Nujoma road na interchange ya kuingia daraja la kigamboni.Kwa jinsi wabongo tunavyoongea tungekuwa na vitu vikali kama vyenu wakenya mungekoma unfortunately penye miti hakuna wajenzi.
Mkuu mbona unachukia sana chama cha ccm..😀😀😀😀😎
 
7487204750_22df4a18b8_b.jpg

__________________
50047081-0a02-4976-b334-7ace89fe0013.jpg
 
Mnavyosumbua na hii road humu.
Kweli maskini akiokota......!![emoji85]
 
burukenge Yeah hiyo story iko jikoni yaandaliwa vilivyo kabisa na plan zake zitakuwa unveiled mwezini.Maana ni mradi mkubwa hadi zaidi ya kilomita 24 kuzingira jiji kuu la Nairobi,waziri wa miundombinu yuafanya mambo kwa kasi baada ya kuamriwa na Rais afanye halahala kwa uzinduzi wa Tram ya kisasa.Relocation ya watu haitakuwa manake huu mradi wajengwa kwenye nafasi zilizoachwa kwenye major roads hapa Nai.
 
Dar ni mji mkubwa sana na una watu wengi karibu 2 times ya Nairobi but worse enough totally no city planning,kila mtu amejenga anavyojiskia unlike Nai now kwa hali hii kuja kupata miundombinu ya maana kama hiyo ni ngumu na expensive sana sijui viongozi wa ccm walikuwa wanawaza nini,kama walianzisha mamlaka ya kupanga mji Dodoma walishindwa nini Dar na miji mingine mikubwa Tzn? Deeply sad!
Pole sana mkuu.
Punguza jazba!
 
game over ,Gere itakutoa mate machungu.Huu ni mwanzo tu,si bypasses umeziona hapa,na bado outering nailete hapa inapojengwa,bado SGR mbioni ntahakikisha nimeupload humu picha halisia,yaani real time,Bado western bypass ntalete humu,na kuweka halua kwenye keki,Tram ujenzi wa tram unaopangwa kuwa launched huu mwezi mie pia ntavisambaza mumu humu,una cha wapi wewe,katetemeke na utoke mbio ndani ya huu uzi manake kama ni wivu na kijicho unacho,na bila shaka mate yatakukauka kinywani....katafute kopo la maji chafu ukanywe!!!
 
B9yRojlIAAAf6Ae.jpg:large


B98zNxNIUAAxJTj.jpg:large


B-Lf0ZFIAAAmvef.jpg:large


B9yRm6iIUAAD0Bg.jpg:large

__________________


more on southern Bypass-NAIROBI
B-lvmp3UAAAZ1qt.jpg:large



B-ltJVDVEAA0uAk.jpg:large



B-ltEz9UAAA1prt.jpg:large



B-ltFIhVIAAnwgy.jpg:large



B-ltHutUAAEhTku.jpg:large
__________________
 
Back
Top Bottom