Utakomaa as umri wako unavyoendelea kusogea. Utapevuka zaidi. Utagundua huu upumbavu unaoung'ang'ania kwakusema unampenda sana mume wa mtu its just a matter of maturity.
Kuwa matured ni sambamba na kusema hapana kwa jambo lisilo sawa(lisilo sahihi) hatakama linakufanya ujisikie vizuri.
Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke.
Elewa kuna mwanamke mwenzio huko atatelekezwa na watoto. Elewa kuna watoto huko watakua kwenye risk yakua watoto wa mtaani kisa wewe umeshindwa kuzuia tamaa zako ukakubali kuiiba furaha ya familia nyingine.
Please I beg you, mshauri, airudie familia yake.
Atakuzalisha, atakuzoea, vagina yako itatanuka, hautakua na ladha kama uliyonayo sasa. Ataanza kukuona kama anavyomuona mke wake sasahivi.
Nimejitahidi kuandika kwa lugha yakawaida, ila nimejisikia kukutukana matusi yote