Trapped to a married man

Ndo hvo mkuu,hasa kakiwa kametoka kuoga ile usiku wakat wa kulala ngoz zenu znapogusana unajihis tofaut sana tofaut na unapokuwa na mwanamke mkubwa
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…sawa mkuu Sina usemi juu ya Hilo .
Amani ya bwana iamue ndani yake.
 
Mimi mwenyewe nina mke ila kuna mdada natoka naye nampenda kinyama. Nina mpango wa kumuoa na yeye kakubali. So haya mambo yanatokea na huwezi kuyazuia kwa akili yako labda Mungu tu ndio azuie.
Mmmmmmhmn sio kweli, unajua usisubirie kuingia katika dimbwi la tope ndipo uanze kuwaza kuhusu usafi maana ushaingia. Unatakiwa uwaze before haujaingia. Wewe unaongelea swala la uzinzi baada ya kuwa katika mahusiano ya uzinzi tayari?!
 
Nikusahihishe, ni kwamba usiipe nafsi yako kila inachotaka, bali ipe unachohitaji na kustahili.
 
Halafu wanakuja hapa kuanza kuongea shudu kuwa wanaume sio watu wakati ufala ameleta mwenyewe...... Kuna majitu yanatia hasira. Mimi nikiona mwanamke anahangaika na mapenzi ya wizi huwa napatwa na hasira sana na tamani nipige niuwe.
 
Tamaa huwa ina nguvu sana ila ya muda mfupi sana. Wewe unaweza kuona umefika hapo ila ngoja sasa upate unachotaka hautaamini kichwa kitakavyokusaliti.
 
kweli mkuu huu ni uroho wa wanaume unakuta jamaa anajuwa huyu ni mtu wa kufanya malengo nae na kuwa na future hapo bdy kumbe ndo kwanzaaa mwenzie anaumiza kichwa kuolewa na mume wa mtu kumbafuuu kabisaโ˜น๏ธ.

Hata Mungu hapendi jamanii
 
Kwa ushauri wangu olewa tu na asiye na mke,halafu nakuombea nae katika ndoa yenu apate mchepuko umshike akili uone raha ya kuachwa kwenye mji mwingine.
 
Inawezekana ndio au hapana nimeshindwa kuifafanua situation hii vizuri
Lakini naomba tu nikwambie nipo wakati mgumu
Umeshawahi kupenda watu wawili kwa wakati mmoja?
Wewe hebu acha uongo wewe. Hivi unajua maana ya neno upendo au umeamua kuliabuse.....?!

Hakunaga kupenda watu wawili hata iwajel Hapo wewe kichwa chako kinaongozwa na akili ya tamaa na ni tamaa mbaya ya umauti (utakuja elewa baadae kwann ninasema ni tamaa ya umauti kama utaendelea na huu upuuzi wako).
 
Mi nimeishia hapa comment ya kufungia mjadala
 
Mbaya sana kuolewa na kuzaa na mume wa mtu.
wengi wanaishia pabaya .Nina ndugu yangu sjui walimloga kawa Kama chizi saivi yupo nyumbani na yule mwanaume akamkimbia karudi kwa mkewe saivi anaongea mwenyewe mara avue nguo mara Alie tu Yani ni vitu vya ajabu wamesha mzungusha Kila mahali ๐Ÿ˜… naona alipigwa bab kubwaa .

Si mshauri mtoa mada .
 
Reactions: amu
Hata nyie mbona mnapitia mengi na mapungufu yanakuwepo hata kwenye mechi, inshort nikimjua mwanaume mechi kadhaa namkinai tu, so ukisema Ni nyie si kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dea unani vunja mbavu, kumuu miza mke mkubwa huku ikiwa siri, mbona hauwezekan hata, anajidanganya San huyu bibie.
Wanaume wakiwa wanapata free papuchi wanaweza kukuhaidi hata bombadia ya Magufuli huku wakikusifia uongo na kweli na kumkandia mama mjengo
 
Wake zetu tulip free hatabaada yamahari tunawahonga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ