Huwa wanakuwa na vikelele vya balehe zinawasumbua..... Waliopo kwenye mahusiano ya one woman man wametulia tu wanapanga the next anniversary atamsuprise vipi wife na zawadi nzuri na location gani.....Utawaweza watu; kujilisha tu ujinga. Ooh mwanaume kamili mwenye pesa na nguvu blah blah blah; basi utadhani wana pesa kweli na hizo nguvu, kumbe apeche alolo
Kumbee me na ke wote malayaUmalaya unaanza na tamaa ya vya wenzako....
Mkuu tunawaza sawa nimetoka kushauri kitu hiki hikii...Wewe bana sikiliza..!
Kwanza, wengi wanaojidai kukushangaa hapa hasa wanawake, wao wenyewe wanatembea na waume za watu!!
Pili kama ulivyosema wewe, maisha ni mafupi haya, wanaosema ooh vumilia sijui usiipe nafasi furaha ya muda mfupi... wee usiwasikilize hao wana stress zao. Bora furaha ya muda mfupi kuliko kukosa kabisa furaha. Hakuna zawadi utakayopewa kwa kuishi maisha ya tabu. Maisha ni hayahaya usipoenjoy sasahivi ndio basi tena.
Ushauri: We chakufanya, olewa na hako kakijana kanakokupenda ila usiachane na yule mume wa mtu. Badala ya kufunga ndoa kisirisiri ambapo itakulazimu kuachana na yule kijana, wewe olewa na kijana huku ukiendelea kumfaidi mume wa mtu. Nina uhakika mume wa mtu hatakua na pingamizi katika hilo. Hii itakua ni win win situesheni.
Na kupasoma kwenye bible tu ila kuingia ni ndotoo😂😂😂Halafu Maya ameacha tumshauri yeye kakumbatiana na msukuma, Maya mbinguni utapasikia
Sasa kama anakupenda kweli kwa nini asimuache mkewe ili akuoe wewe kihalali? Kuwa makini sana na hawa wanaume. Hujui the other side of the story kwa upande wa mkewe nini kinaendelea. Usidanganyike na maneno matamu anayokuambia sasaivi na kukupa vitu vizuri vizuri. Fikiria miakà mitano ijayo utakuwa wapi. Kama anakupenda kweli he should man up and confess his love to you before the whole world.Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi
Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.
Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi,mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.
Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.
Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.
Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.
The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.
Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba,na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine
Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali,well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.
To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.
Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.
Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea
PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Update
Japo nashambuliwa lakini nawashukuru mnaniongezea nguvu ya kufanya maamuzi although yanauma.Nyie nipeni ukweli tu ukweli ni dawa itakayo niponya
So far naona kuna dalili ya kumtumia huyu mume wa mtu since anataka mwenyewe why not,hii sio final ila kutokana na ushauri ninaona nipite namna hio
Mbona font ndogo sn😅[SUP]Hiyo nyumba mnayo jenga kiwanja kina jina la nani??[/SUP]
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] amenIla huyu dada kusema kweli yuko njiapanda:
1. Kuacha fursa ya uchumi kunahitaji uwe na roho wa Mungu kweli kweli. Ni wanawake wachache sana hawanasi kwenye mtego wa uchumi. Hata wake za watu wengi tu wanashindwa kutunza uaminifu wa ndoa zao wakikutana na mtego wa pesa.
2. Kuna shida somewhere kwenye ndoa ya huyo mwanaume. Huyo jamaa hajamtafuta huyu binti kwa bahati mbaya. Ndo maana anathubutu kumtambulisha kwa ndugu zake. Ktk situation hii, siyo rahisi kwa huyu dada kuchomoka, isitoshe kwake ni fursa.
3. Wadada wengi wanapenda wanaume wenye navyo tayari (kitu ready made). Yule dogo bado ana husle kimaisha, bright future is still uncertain. Bado hajafika level ya mshua, na huenda asifike kabisa. Au afike after so many years.Sasa mdada ule msemo 'we live now' ndo unampa nguvu.
4. Prediction is difficult in either case. Anaweza olewa na dogo, naye baada ya uchumi kunoga akaanza kuzingua tena. Wanaume wengi tabia zao halisi hujulikana baada ya pesa kukubali.
5.Mwenyezi Mungu amuongoze kwenye maamuzi yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtie ngumi ya sikio huyoMimi hapa nimeshafika mbona haunioni.... Au hadi nikulambe kofi ndio ujue nimefika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vichaa vya ndoa
Tatizo sijui kwanini muda wote huwa tuna'assume wote waliooana wanapendana sana na ndoa huku ndani ziko perfect.,Kumsingi, wewe ndie una matatizo. Wanaosema mume au mke wa tu ni sumu huwa mnawaza swala la kukamatwa tu na kubananishwa ila mnasahau kuwa kitendo cha kuingia kimahusiano na mume au mke wa mtu sio tu ni hatari kwa afya na usalama wako lakini pia unakaribisha unnecessary complications kama kupata mtoto nae, au kupeka ujauzito na kuzaliwa watoto wa nje ya ndoa katika ndoa ya mtu, kujenga hisia na mume au mke wa mtu kiasi kwamba unaanza kumuona mwenye mke au mume kuwa anakunyima haki yako ya kuwa na mtu unae mtaka.
Wewe una matatizo sababu ulikubali from the beginning ukijua huyo ni mume wa mtu, ulitakiwa mapema sana ulipojua kuwa ni mume wa mtu, muda ule ule ungesitisha mazoea na kuachana nae.
Sasa kwanza unadanganya kuwa unapenda wanaume wawili kwa wakati m'moja, how is that even love kwanza?! How is it possible kupenda watu wawili kwa usawa ule ule....?!
So we kubali tu kuwa wewe ndie tatizo. Na kuhusu kukushauri, kwa sasa ni ngumu maana nitakushauri maamuzi magumu ya kumuacha mume wa mtu na kuwa na huyo ambae hana mtu maishani mwake. Swala ambalo najua litakuwa ni gumu sana kwako kufanya kwa wakati huu.
Mmmmmmhmn ila aisee watoto wa kike muda mwingine, mna akili za kipuuzi..... Yote hiyo ni tamaa. Sasa unaanzaje kujenga na mume wa mtu?! Na unajua mtu ana familia yake?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo "apeche alolo" khaaaaahUtawaweza watu; kujilisha tu ujinga. Ooh mwanaume kamili mwenye pesa na nguvu blah blah blah; basi utadhani wana pesa kweli na hizo nguvu, kumbe apeche alolo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] my dear sio hivyo, tunaotoka na waume za watu kama tunachukua vidonge vyetu kupitia komenti za wajumbe..waliojaaliwa kutulia ndio wamatoa ushauri[emoji23][emoji23][emoji23]huu uzi watu wameandika kwa hisia sana jamani
Watu jf ni watakatifu sana kwa hizi comment naona kabisa hakuna wachepukaji humu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio hapo sasa, utadhani wao wanaojisifia kuchepuka hizo hela wanazo sasaUtawaweza watu; kujilisha tu ujinga. Ooh mwanaume kamili mwenye pesa na nguvu blah blah blah; basi utadhani wana pesa kweli na hizo nguvu, kumbe apeche alolo
Kwahiyo unataka kusemaje? Tena mie sijataka tyuuuh kumshauri huyo, wallah uzi mzima ungehamia kwangu.Mmmmmmhmn u sound weird....
UpIla huyu dada kusema kweli yuko njiapanda:
1. Kuacha fursa ya uchumi kunahitaji uwe na roho wa Mungu kweli kweli. Ni wanawake wachache sana hawanasi kwenye mtego wa uchumi. Hata wake za watu wengi tu wanashindwa kutunza uaminifu wa ndoa zao wakikutana na mtego wa pesa.
2. Kuna shida somewhere kwenye ndoa ya huyo mwanaume. Huyo jamaa hajamtafuta huyu binti kwa bahati mbaya. Ndo maana anathubutu kumtambulisha kwa ndugu zake. Ktk situation hii, siyo rahisi kwa huyu dada kuchomoka, isitoshe kwake ni fursa.
3. Wadada wengi wanapenda wanaume wenye navyo tayari (kitu ready made). Yule dogo bado ana husle kimaisha, bright future is still uncertain. Bado hajafika level ya mshua, na huenda asifike kabisa. Au afike after so many years.Sasa mdada ule msemo 'we live now' ndo unampa nguvu.
4. Prediction is difficult in either case. Anaweza olewa na dogo, naye baada ya uchumi kunoga akaanza kuzingua tena. Wanaume wengi tabia zao halisi hujulikana baada ya pesa kukubali.
5.Mwenyezi Mungu amuongoze kwenye maamuzi yake
Naunga mkono😂😂 watakatifu unyao wangu.[emoji23][emoji23][emoji23]huu uzi watu wameandika kwa hisia sana jamani
Watu jf ni watakatifu sana kwa hizi comment naona kabisa hakuna wachepukaji humu
AmeeeenIla huyu dada kusema kweli yuko njiapanda:
1. Kuacha fursa ya uchumi kunahitaji uwe na roho wa Mungu kweli kweli. Ni wanawake wachache sana hawanasi kwenye mtego wa uchumi. Hata wake za watu wengi tu wanashindwa kutunza uaminifu wa ndoa zao wakikutana na mtego wa pesa.
2. Kuna shida somewhere kwenye ndoa ya huyo mwanaume. Huyo jamaa hajamtafuta huyu binti kwa bahati mbaya. Ndo maana anathubutu kumtambulisha kwa ndugu zake. Ktk situation hii, siyo rahisi kwa huyu dada kuchomoka, isitoshe kwake ni fursa.
3. Wadada wengi wanapenda wanaume wenye navyo tayari (kitu ready made). Yule dogo bado ana husle kimaisha, bright future is still uncertain. Bado hajafika level ya mshua, na huenda asifike kabisa. Au afike after so many years.Sasa mdada ule msemo 'we live now' ndo unampa nguvu.
4. Prediction is difficult in either case. Anaweza olewa na dogo, naye baada ya uchumi kunoga akaanza kuzingua tena. Wanaume wengi tabia zao halisi hujulikana baada ya pesa kukubali.
5.Mwenyezi Mungu amuongoze kwenye maamuzi yake
Ndo mana heri acheze kadi ya 'kula vyote'/win-win situation....aolewe na kijana mwenzie ila yule mume wa mtu apooze tamaa ya moyo kidogo.,mapenzi yana mambo yake jmn na watu wazima wote mnajua...na what if bachelor nae akazingua ?bora kuendelea nao wote tu ndugu msomajiIla huyu dada kusema kweli yuko njiapanda:
1. Kuacha fursa ya uchumi kunahitaji uwe na roho wa Mungu kweli kweli. Ni wanawake wachache sana hawanasi kwenye mtego wa uchumi. Hata wake za watu wengi tu wanashindwa kutunza uaminifu wa ndoa zao wakikutana na mtego wa pesa.
2. Kuna shida somewhere kwenye ndoa ya huyo mwanaume. Huyo jamaa hajamtafuta huyu binti kwa bahati mbaya. Ndo maana anathubutu kumtambulisha kwa ndugu zake. Ktk situation hii, siyo rahisi kwa huyu dada kuchomoka, isitoshe kwake ni fursa.
3. Wadada wengi wanapenda wanaume wenye navyo tayari (kitu ready made). Yule dogo bado ana husle kimaisha, bright future is still uncertain. Bado hajafika level ya mshua, na huenda asifike kabisa. Au afike after so many years.Sasa mdada ule msemo 'we live now' ndo unampa nguvu.
4. Prediction is difficult in either case. Anaweza olewa na dogo, naye baada ya uchumi kunoga akaanza kuzingua tena. Wanaume wengi tabia zao halisi hujulikana baada ya pesa kukubali.
5.Mwenyezi Mungu amuongoze kwenye maamuzi yake
Umemalizaaah, maamuzi yapo kwake binafsi.Up
Naunga mkono[emoji23][emoji23] watakatifu unyao wangu.
Dear we fanya kinachokupa amani wewe ni mtu mzima unajua zuri na baya..hapa wengine watakuita Majina yote..ila we mwenyewe ndiyo wajua wataka nini