Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Sana aiseeMe mwenyewe nimeshindwa, hapa nasoma tu comments za wadau.
Ishu za mapenzi ni very complicated
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana aiseeMe mwenyewe nimeshindwa, hapa nasoma tu comments za wadau.
Ishu za mapenzi ni very complicated
Una uhakika wanatembea na waume za watu???Wewe bana sikiliza..!
Kwanza, wengi wanaojidai kukushangaa hapa hasa wanawake, wao wenyewe wanatembea na waume za watu!!
Pili kama ulivyosema wewe, maisha ni mafupi haya, wanaosema ooh vumilia sijui usiipe nafasi furaha ya muda mfupi... wee usiwasikilize hao wana stress zao. Bora furaha ya muda mfupi kuliko kukosa kabisa furaha. Hakuna zawadi utakayopewa kwa kuishi maisha ya tabu. Maisha ni hayahaya usipoenjoy sasahivi ndio basi tena.
Ushauri: We chakufanya, olewa na hako kakijana kanakokupenda ila usiachane na yule mume wa mtu. Badala ya kufunga ndoa kisirisiri ambapo itakulazimu kuachana na yule kijana, wewe olewa na kijana huku ukiendelea kumfaidi mume wa mtu. Nina uhakika mume wa mtu hatakua na pingamizi katika hilo. Hii itakua ni win win situesheni.
😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka tu
Mama mijengo wana comment kwa hasira nahisi ningekuwa karibu wana jf wangenirarua [emoji1436]♀[emoji1436]♀[emoji1436]♀
Sawa dear..nakuombea upate kilichobora mpendwa wanguMpenzi wangu niko serious
Maneno ya kuambiwa na wewe ujichunguze sio kuingizwa kundi moja na watu usiorelate nao.Mimi ni mwanaume ninae ongea kwamaana tunajijua... mwanaume kamili shababi haridhiki na mwanamke mmoja....
nikweli mwanaume anaweza akawa anawake ata mia moja na bado haridhiki kutokana na matamanio yetu tuliyoumbiwa.
ndomana nikasema kuoa mwanamke zaidi ya mmoja hii jambo linapendeza kufanywa na mwanaume mwnye akili,msimamo na Imani thabiti.....na kuoa wake wengi sio kazi Ila kazi ipo kwenye kuwatendea haki sawaa..
Ukiona mwanaume kaoa mwanamke mmoja afu katulia hachepuki huyo mwanaume huenda anamatatizo either kiafya au kiuchumi.... over
Hahaaa..papuchi kufinyia....lohWaume za watu sio wakuamini Yani hapo anafata tu papuchi mkewe Yuko busy na ulezi, ka msaliti aliyemzalia yeye Ni Nani jomoni anafikiri papuchi yake tu ndio inajua kufinyia eeeh, awe makini asije kuwa single mother
Mwambie.... Tell him.Narudia tena; jisemee tu nafsi yako. Sio wanaume wote hawaridhiki na mtu mmoja period.
Nimeshafika..... Huo unaosema sio ukweli.....Huo ndo ukweli....aje apa mwanaume yoyote apinge huu ukweli.
Sasa wewe jifariji tuuh...
Mimi hapa nimeshafika mbona haunioni.... Au hadi nikulambe kofi ndio ujue nimefika.Basi anyooshe ata mokono tu...
Kweli wanaume hatuwezi kufanana dunia nzma na tofauti yetu apo inatokana either afya au uchumi...over
We nae acha siasa zako za Beijing, aliyekwambia wanawake wanaridhika ni nani?!Kila binadamu hutamani vitu tofauti tofauti na binadamu haridhiki na kitu kimoja hata wewe mkeo humridhishi Ila kspiga kimya tu, kutulia huwa Ni matter ya maamuzi na self control hyo ya kusema hamuridhiki Ni Mila potofu tu za zamani za wanaume kujipendelea, hata nyie wanaume huwa hamturidhishi Ila tunaacha kuhangaika. So inshort hata wanawake tunapenda vitu tofauti, pia binadamu kuridhika ngumu
True... Anawabania tu wadada wa watu wanaosugua goti kanisani huko....Speaking the honestly
Wew Dada unajidanganya unavo sema unawapenda wote wawili
Huyu Jamaa ambae yupo single humpendi, nakuomba muache na maisha yke akatafute wa kufanana nae
Life is too short Kama umeridhia kua na Mume wa mtu na moyo umekusuma nenda ( chochote kitakacho tokea ni your choice)
Ila single boy wa watu muache
Unaitaji ku enjoy maisha na kutafuta a truly love
Mwanakulifind mwanakuliget.... Ipo siku utalewa urefu wa shimo unalong'ang'ania kuingia....Nimesoma ushauri wako
Kuna mengi umeyaandika ni kweli I have to consider them
Najua hii mada inapelekwa in a very emotional way na wanawake wengi I understand na mnisamehe Kama nawakwaza
Kuna vingi sijavielezea hapa
Kwanza mimi sijamroga huyu mwanaume wala kutumia dawa yoyote atleast hapo am not guilty
Nimetambulishwa kwa ndugu zake,mama mkwe na mawifi,marafiki
Usiri ninao usemea hapa ni mke asijue maana hana kosa she doesn’t deserve kuumia kwasababu ya maamuzi yetu ila in future lazima atakuja kujua
All in all kuna vitu umeongea ni point sana
Bado sijafanya maamuzi I can still change my situation before it becomes complicated
Utawaweza watu; kujilisha tu ujinga. Ooh mwanaume kamili mwenye pesa na nguvu blah blah blah; basi utadhani wana pesa kweli na hizo nguvu, kumbe apeche aloloMwambie.... Tell him.
Haya ni maneno ya kukaririshwa na kuaminishwa..... Ila hajui nyuma ya pazia yana maudhui gani.
True... Umemshauri vizuri sana. Ulichokisema ndicho anatakiwa fanya. Watoto wakike wanakuwa wazuri sana kushauriana upuuzi halafu mwenzao anapokwama hawapo tena kumsaidia wanabakia pembeni wakimng'ong'a na kumcheka huku wakilaumu mwanaume kuwa ndie msababishaji wa matatizo.Binti Maya Angelou humu wengi walichokushauri usiolewe na mume wa mtu wapo sahihi , maisha ya uke wenza utaishia kulogwa na kujitafutia laana na mikosi isiyo ya lazima kutoka kwa mke wake na watoto ambao watakosa huduma
bora kutoka kwa baba yao ingawa unajifanya umejiandaa kukabaliana na hali ya uke wenza na ndio upagani wenyewe huu tunaosema .Huyo kijana single humpendi kwa kuwa unamuona hataweza kufulfil your desired future life ukilinganisha na huyo married man ambaye kachuma na mkewe ndio maana unamuona kanawiri na mzoefu katika kuchepuka tofauti na huyo single , kwa kuwa mlishaanza mapenzi naye ukiwa binti mdogo yawezekana ndiye alifungua mlango , omba sana kwa kufunga na kumaanisha Mungu akuondolee kifungo cha kumkumbuka huyo mwanaume mme wa mtu kwani usipofanya hivyo hata ukija kuolewa na kijana single utajikuta kila akikuita for s.. unamfuata kama mbwa anavyofuta kuliwa na chatu .Usikubali mafundisho ya kura raha na wanaume za watu , kuchuna wanaume za watu hata maisha ya kudanga , hayo waachie wenyewe wanawake wengi walioamua mfumo huo wa maisha na angalia sana saloon unazokwenda na epuka marafiki wote wenye tabia hizo , nakutakia utulivu na upate wako mtayejenga maisha yenu uje kuwa na ndoa bora sio bora ndoa au bora kuzaa tu.
Hahaha ahsante sana mwanamume wewe.Nimeshafika..... Huo unaosema sio ukweli.....
Mimi hapa ni a living example. Kama haujui njoo nikufunze...... Mwanaume kuwa na tamaa ya wanawake wengi ni swala la kusikiliza na kufuata mihemko na tamaa za kibinadamu......
Unaweza kuridhika na mwanamke wako, na kipindi akianza kukukifu kuna vitu ukafanya nae mvuto ukarudi sawa.
Na nikwambie tu jambo, vinavyo kuvutia ukiwa katika teenage years, ni tofauti na 20's age na 30's kuendelea....
As una age na kumature and so will the perception yako juu ya mahusiano, wanawake na mapenzi kwa ujumla.
So usifikirie akili hizi za kubalehe utazitumia kukiwa unaingia utu uzima na majukumu ya familia.....
Mimi hapa nimeshafika mbona haunioni.... Au hadi nikulambe kofi ndio ujue nimefika.
Maneno ya kuambiwa na wewe ujichunguze sio kuingizwa kundi moja na watu usiorelate nao.
Sio kweli kuwa wanaume wote wanatamaa na wanawake na kutaka kuwa na multiple partners katika wakati m'moja.
Wapo wanaume ambao kudeal na mwanamke zaidi ya m'moja kwao ni kero. Yeye anataka utulivu, ajue tu ana mke, wanaelewana basi.... Hataki kelele zingine.
Muda mwingine kideal na wanawake wengi ni frustration especially at maturity age. Sasa unadhani mwanaume wa umri wa kuanzia miaka 35 anahangaika na wanawake wengi anapata nao wapi huo muda badala ya kudeal na mwanamke m'moja afanye nae maisha?!
Huo muda wa kuwa demanded na watu tofauti anaanza utoa wapi?!