Trapped to a married man

Trapped to a married man

Hata nyie mbona mnapitia mengi na mapungufu yanakuwepo hata kwenye mechi, inshort nikimjua mwanaume mechi kadhaa namkinai tu, so ukisema Ni nyie si kweli
Yaani humkinai hvhv tu,Labda kama hakunyegeshi vizur na kukupandsha panapo kilele ndo utamkinai....

Mwanamke kubadili wanaume hilo tatizo Sasa..
 
Nia ya usiri ni kuto muathiri bi mkubwa
Ila ndugu wa mume mpaka mama mkwe mawifi marafiki wananijua
Nisingependa huyu mke mkubwa aumie kwasababu ya mume wake ndio maana nalitafakari hili
Hao ndugu na mama ni balaa. Wanapromote mchepuko wa ndugu yao kuliko mke halali?
Kweli jamaa no tajiri haswa. Ka-corrupt hadi akili za wanaotakiwa kukemea ujinga wake.
 
It seems huyo mama mkwe na familia wanataka kumkomoa huyo mke mkubwa vile ukute hawalambi makalio na wewe unajipendekeza huko uonekane vizuri, so be careful ka ana mtenda mkewe unafikiri wewe papuchi yako inatoka dunia nyingine?
It seems unabusara sana dada..
 
Mke wangu nampenda mno na sipo tayari kumpoteza ila nimeshaamua liwalo na liwe. Yule mdada siwezi kumuacha aliwe na wahuni wengine maana jinsi ninavyomfeel siwezi hata kuelezea. Tukiwa chumbani huwa napata raha isiyokifani hivyo nimeshaamua bora nimuoe tu kuliko kumwacha akaolewa na mwanaume mwingine nikaishi a miserable life for the rest of life. Wife will have to just understand. I love her (my wife) but I'm also deeply in love with another woman.
Hahaaa duuh, wee mkuu ni noma
 
Hivi kumbe kupenda Mume wa mtu ni umalaya..!! Sikulijua hili

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka tu
Mama mijengo wana comment kwa hasira nahisi ningekuwa karibu wana jf wangenirarua [emoji1436]‍♀️[emoji1436]‍♀️[emoji1436]‍♀️
 
True mwanaume si kiumbe wa kumwamini labda baba yangu na kaka yangu tu basi
Una roho mbaya tu na watoto wa wanawake wenzako. Utadhani wewe ukija kupata mtoto wa kiume atakuoa mwenyewe nyau wewe.....
 
Umeongea kwa hisia mpaka nimejitafakari na mimi juu ya unavyotutazama wanaume.

Mimi ni mwanaume lakini nimezaliwa na Mwanamke, nina Siblings wakike sasa vipi kama mama yangu angetelekezwa na baba kisa mwanamke aliyeshindwa kucontrol tamaa kama huyu. Ama dada yangu atelekezwe leo hii kisa selfish mmoja wa namna hii. It's not fair.
Huyu bi dada hayupogi fair na wanaume naanza kuhisi ametokea kwenye familia yenye msingi mbaya sio bure....
 
Andiko gani katika Biblia linakataza mitala ?

Usiri huwa tunafanya kwa ajili ya kuusoma upepo kwa mke mkubwa, sababu tulio wengi wake zetu wakubwa huwa wakorofi sana.

Pili, ngoja nikuulize swali usiri unao ongelewa hapa unauelewa au kwako wewe usiri wa ndoa ni upi ?
Mmmmmmhmn babu sasa hapa utatuingiza chaka muda si mrefu.

Wakristo wanandoa ya mke m'moja tu.....
 
Mbona tuna aminika tu vizuri cariha , lakini hii si ishu ya wanaume tu sababu huyu binti tayari alikuwa na kijana mwenzie mwingine ambaye hajaoa

Tufikiri kwamba yule kijana kule ni mwaminifu na kweli anataka kumuoa, Je si yeye ndiyo muhanga

Trust issues nafikiri ipo kote tu si kwetu wanaume peke yake

Utakuta baadaye muanzisha mada anatuita wanaume wote mbwa kumbe ni yeye alikosea kufanya maamuzi
Cariha is a toxicated feminist. In her court of judgment, men are guilty before and after being proven innocent.

Nakaombea kapate watoto wa kiume tupu katika uzao wake and hii chuki anayoiendekeza ikapande mbegu kwa watoto wake wa kiume wakutane na mabinti bitter kama yeye...... Kupitia uchungu wa mwana ataelewa upuuzi anaouendekeza wakati huu.
 
Uliloandika Ni kweli Ila binti huko alifata kuhongwa vizuri yeye hajazaa ujue Bora wale huchepuka kwa starehe Ila huyu ana ndoa na watoto imagine hyo familia ikivunjika na ujue huwezi penda vitu viwili kwa usawa imagine hyo energy ya kuhonga mchepuko Ange invest kwa mkewe na familia.
Kwahiyo hiyo ndoa itavunjika kwasababu ya mwanaume na si mwanamke. Hivi hadi hapo tu hauoni unaonyesha kuwa onesl sided?!

Huyu dada amesema wazi kuwa kuna mwanaume ambaye hana mtoto wala familia, na yupo vizuri, ana kazi nzuri na anauwezo, sasa kama issue ni pesa si aombane na huyo aliye single ambaye anamtaka kwaajiri ya kuanza nae maisha na ameshatangaza nia ya kwenda kwao kabisa........?!

So wewe umetazamia hili swala kiupendeleo...... Na una ubaguzi wa kijinsia sana......toxic feminist wahed
 
Back
Top Bottom