Trapped to a married man

Trapped to a married man

Sijawahi ona wakwe Wana support uvunjifu wa ndoa ya mwanao wenye watoto, Hawa watu Ni wachawi na Wana roho ya ushetani seems huyo mke hawalambi makalio na kujipendeza au kuwanyenyekea and it's seems huyo mwanamke ndio mwenye kipato so wanamtumia huyu mchepuko kumuumiza mke mkubwa, dah inabidi kuwa makini na familia tunazoenda kuolewa nazo, Yani familia Ina support huo ujinga ptuuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wakwe wengi na mawifi ni mashetani.
 
Zipo familia za hivyo nimezishuhudia mwenyewe...
Kijana kila mwanamke anaechepuka nae ni rafiki wa mama yake kwanza na dada zake, na ndie atapewa habari za mke aliepo mpaka anaachika hasa huyo mpya akionekana ana vijisenti kidogo.
Na kijana hakosei huwa anawapata wenye maisha yao so familia yake plus kijana na kuchuna tu.

Dunia ina mengi hii.
 
Ahahaaa...

Mbna unaongea kwa hisia sanaa mkuu.

Wanawake ni starehe kama starehe zengne,kwani kulishawai kutokea bingwa wa kunywa pombee au kuvuta bangi...?

Na sizungumzii wanawake wa kungonoka/kuzini nao tuelewane apo hyo ni haramu......ata uwe busy kiasi gani ktk dunia hii kama kweli kiafya uko vzur swala la hisia kwa wanawake litakujia tuu.

Bado nasimamia msimamo wangu hakuna mwanaume anaesema mimi mke Wang mmoja ananitosha huo ni uongo sema tu tatzo labda kipato au afya...

Hili swala adi mapadri na makasisi limewashindwa achana na wachungaji hao ndo usiseme wanayoyafanya Mungu awasamehe.
Wanaume wa sampuli yako nyuma ya pazia wanafanya mambo ya ajabu sana...

Wanawake wangapi wanatosha kama mmoja hatoshi?kwa idadi

ili uwe na kipato kiasi gani utajua hiki ni kikubwa sasa niwe na wanawake wengi?

Mtazamo ikiwa mapadri na makasisi wameshindwa, kutafanya watu wote washindwe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wakwe wengi na mawifi ni mashetani.
Mimi ningewanyoosha kuanzia mume, mama mkwe mawifi na mchepuko then naachana nao mazima Kuna watu waharibifu, Ila familia nyingine sio za kuolewa nazo hazina values Wala norms kweli sijawahi ona hata ka Ni hela
 
Zipo familia za hivyo nimezishuhudia mwenyewe...
Kijana kila mwanamke anaechepuka nae ni rafiki wa mama yake kwanza na dada zake, na ndie atapewa habari za mke aliepo mpaka anaachika hasa huyo mpya akionekana ana vijisenti kidogo.
Na kijana hakosei huwa anawapata wenye maisha yao so familia yake plus kijana na kuchuna tu.

Dunia ina mengi hii.
Nadhani familia za hivi huwa hazina baba Kama key figure na Ni za uswahili huko mfano hii ipo kwa diamond mama ana mpangia Hadi mwanawe michepuko so ukiona hyo familia ya hivo hata kuzaa huzai nao wanakuchafulia kizazi kwa tabia chafu wallah.
 
Mkuu, uzi kama huu lazima uteke hisia za watu coz unagusa the inner part of our hearts so usishangae sana.

Watu wanawaza future yako na huyo jamaa, wanarudi kuwaza kuhusu huyo mke mkubwa, wapo watoto katikati hapo so it must be a complicated case. Sio kwamba watu ni watakatifu, no ilà hii mada ina uzito coz inagusa maisha ya watu.

Hapa wewe unaweza kulichukulia lightly, lakini kuna watoto wanaweza kutelekezwa in the name of love, kuna mama anaweza kuishi kwa frustration hadi kufa kwa sonona kisa maamuzi utakayofanya.

Mimi namuona huyo jamaa mkosefu sana, anamkosea mkewe lakini anaiharibu nyumba yake, you've come in the middle of everything but he deserves the blame, angetulizana ungebaki na kijana huyo maisha yakaenda, but he didn't.

He's a successful man kutokana na maelezo yako, mind you his wife has a hand in it. Hakufanikiwa tu hivi hivi, leo kapata anaona ni heri aoe kwa siri, WTF is he thinking? Sasa wewe ndio muonyeshe kuwa anachofanya sio sahihi, he should go back to his beautiful wife alee vijana wake, wewe rudi kwa huyo kijana muanze maisha yenu. In the end hata wewe utakuwa proud na mafanikio yako na mumeo, sio hiyo "readymade" uliyoikuta hapo. Watu wanaanza mbali jamani, oneni tu majumba, magari et al, watu wameanzia chini mno. Why usiwe sehemu ya historia ya familia yako?

BTW, ungejaribu kumtafuta huyo bi'mama akupe ABC za jamaa, huenda you don't know him that much. That's my two cents!!

Umeongea point and I understand
Kumtafuta huyu mama ni kutafuta shida tu mi sitaki stress za kupambana nae
 
Kwahiyo hiyo ndoa itavunjika kwasababu ya mwanaume na si mwanamke. Hivi hadi hapo tu hauoni unaonyesha kuwa onesl sided?!

Huyu dada amesema wazi kuwa kuna mwanaume ambaye hana mtoto wala familia, na yupo vizuri, ana kazi nzuri na anauwezo, sasa kama issue ni pesa si aombane na huyo aliye single ambaye anamtaka kwaajiri ya kuanza nae maisha na ameshatangaza nia ya kwenda kwao kabisa........?!

So wewe umetazamia hili swala kiupendeleo...... Na una ubaguzi wa kijinsia sana......toxic feminist wahed
Huyo mwanaume Ni mpumbavu wa kiwango Cha lami anaendekeza zinaa Hadi anavunja familia yake akisapotiwa na stupid mother na dada zake, wengi tu huchepuka ulishaona wanavunja familia zao yeye ka mwanaume Hana akili, dada katongozwa na yeye anahongwa Sasa afanyeje ingekuwa mke ndo anafanya hivo mngekuja kulia humu na kulaaani wanawake wote humu.
NB. I'm not a saint just discussing kuona big picture
 
Mimi ningewanyoosha kuanzia mume, mama mkwe mawifi na mchepuko then naachana nao mazima Kuna watu waharibifu, Ila familia nyingine sio za kuolewa nazo hazina values Wala norms kweli sijawahi ona hata ka Ni hela
Are you married? (sorry if you are offended, didn't mean to)
 
Una roho mbaya tu na watoto wa wanawake wenzako. Utadhani wewe ukija kupata mtoto wa kiume atakuoa mwenyewe nyau wewe.....
Hahaaaa njoo ipake roho yangu rangi ili iwe nzuri mkuu, by the way mwanangu wa kiume nitamlea kwa misingi yote ya utu, heshima na adabu ya kujali watu wote, Yani awe na standard zote za mtu aliyestaarabika
 
Dah mkuu hyo nje ya mada better ungejibu nilichoandika tu hyo kuolewa or kutokuelewa Ni out kabisa
Nilitaka kukuuliza swali nione ungelijibu vipi if you were in her shoes.
Poa basi ngoja ninyamaze..
 
Dah mkuu hyo nje ya mada better ungejibu nilichoandika tu hyo kuolewa or kutokuelewa Ni out kabisa

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ukute labda ndiyo bahati yako Mkuu we mjibu tu
 
WANAWAKE WOTE MWALIMU WAO KIPOFU...!!

Hivi kweli unaacha kupanga maisha na mwanaume asiekuwa na Mke unataka ukomaee na Mume wa mtu???? Acha uzwazaa dada angu wanaume genyee tu ndo zinatupeleka yani mfunge ndoa ya Siri alafu MTAISHI SIRINI AU??? kuna dada yangu yalimkutaa kama yako saa hizi analea mtoto mwenyeweee yani alipendana na Mume wa mtu mpaka jamaa akawa anampa simu sister amtukane mkewe lakini leo hii yule jamaa Bado wanaishi na mkewe na Cha ajabu jamaa kazalisha wadada kama wawili wengine kwa Ahadi za Kipuuzi kama hizooo.

ACHENI TAMAA ZA MAISHA MAZURI YASIYOKUWA NA FUTURE NZURI UTAISHIA KULIAA.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ukute labda ndiyo bahati yako Mkuu we mjibu tu
Doh.. Siyo lengo hilo mkuu... Doh
 
Back
Top Bottom