Trapped to a married man

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wakwe wengi na mawifi ni mashetani.
 
Zipo familia za hivyo nimezishuhudia mwenyewe...
Kijana kila mwanamke anaechepuka nae ni rafiki wa mama yake kwanza na dada zake, na ndie atapewa habari za mke aliepo mpaka anaachika hasa huyo mpya akionekana ana vijisenti kidogo.
Na kijana hakosei huwa anawapata wenye maisha yao so familia yake plus kijana na kuchuna tu.

Dunia ina mengi hii.
 
Wanawake wangapi wanatosha kama mmoja hatoshi?kwa idadi

ili uwe na kipato kiasi gani utajua hiki ni kikubwa sasa niwe na wanawake wengi?

Mtazamo ikiwa mapadri na makasisi wameshindwa, kutafanya watu wote washindwe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wakwe wengi na mawifi ni mashetani.
Mimi ningewanyoosha kuanzia mume, mama mkwe mawifi na mchepuko then naachana nao mazima Kuna watu waharibifu, Ila familia nyingine sio za kuolewa nazo hazina values Wala norms kweli sijawahi ona hata ka Ni hela
 
Nadhani familia za hivi huwa hazina baba Kama key figure na Ni za uswahili huko mfano hii ipo kwa diamond mama ana mpangia Hadi mwanawe michepuko so ukiona hyo familia ya hivo hata kuzaa huzai nao wanakuchafulia kizazi kwa tabia chafu wallah.
 
Umeongea point and I understand
Kumtafuta huyu mama ni kutafuta shida tu mi sitaki stress za kupambana nae
 
Huyo mwanaume Ni mpumbavu wa kiwango Cha lami anaendekeza zinaa Hadi anavunja familia yake akisapotiwa na stupid mother na dada zake, wengi tu huchepuka ulishaona wanavunja familia zao yeye ka mwanaume Hana akili, dada katongozwa na yeye anahongwa Sasa afanyeje ingekuwa mke ndo anafanya hivo mngekuja kulia humu na kulaaani wanawake wote humu.
NB. I'm not a saint just discussing kuona big picture
 
Mimi ningewanyoosha kuanzia mume, mama mkwe mawifi na mchepuko then naachana nao mazima Kuna watu waharibifu, Ila familia nyingine sio za kuolewa nazo hazina values Wala norms kweli sijawahi ona hata ka Ni hela
Are you married? (sorry if you are offended, didn't mean to)
 
Una roho mbaya tu na watoto wa wanawake wenzako. Utadhani wewe ukija kupata mtoto wa kiume atakuoa mwenyewe nyau wewe.....
Hahaaaa njoo ipake roho yangu rangi ili iwe nzuri mkuu, by the way mwanangu wa kiume nitamlea kwa misingi yote ya utu, heshima na adabu ya kujali watu wote, Yani awe na standard zote za mtu aliyestaarabika
 
Dah mkuu hyo nje ya mada better ungejibu nilichoandika tu hyo kuolewa or kutokuelewa Ni out kabisa
Nilitaka kukuuliza swali nione ungelijibu vipi if you were in her shoes.
Poa basi ngoja ninyamaze..
 
Dah mkuu hyo nje ya mada better ungejibu nilichoandika tu hyo kuolewa or kutokuelewa Ni out kabisa

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ukute labda ndiyo bahati yako Mkuu we mjibu tu
 
WANAWAKE WOTE MWALIMU WAO KIPOFU...!!

Hivi kweli unaacha kupanga maisha na mwanaume asiekuwa na Mke unataka ukomaee na Mume wa mtu???? Acha uzwazaa dada angu wanaume genyee tu ndo zinatupeleka yani mfunge ndoa ya Siri alafu MTAISHI SIRINI AU??? kuna dada yangu yalimkutaa kama yako saa hizi analea mtoto mwenyeweee yani alipendana na Mume wa mtu mpaka jamaa akawa anampa simu sister amtukane mkewe lakini leo hii yule jamaa Bado wanaishi na mkewe na Cha ajabu jamaa kazalisha wadada kama wawili wengine kwa Ahadi za Kipuuzi kama hizooo.

ACHENI TAMAA ZA MAISHA MAZURI YASIYOKUWA NA FUTURE NZURI UTAISHIA KULIAA.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ukute labda ndiyo bahati yako Mkuu we mjibu tu
Doh.. Siyo lengo hilo mkuu... Doh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…