Salama Cole.Nzuri mpishi mashuhuri amu, habari za uzima wako?
Sina cha kumshauri kwa kweliNilikuwa nakusubiri hapa
embu mshauri mwenzio basi
Kuolewa au kuwa na mwanaume ambae kwenye familia ni bread winner tayari jua una vita na ukoo.Nadhani familia za hivi huwa hazina baba Kama key figure na Ni za uswahili huko mfano hii ipo kwa diamond mama ana mpangia Hadi mwanawe michepuko so ukiona hyo familia ya hivo hata kuzaa huzai nao wanakuchafulia kizazi kwa tabia chafu wallah.
Naona una beef na huyo mdau, kakuandama huu uzi lol,Hahaaaa njoo ipake roho yangu rangi ili iwe nzuri mkuu, by the way mwanangu wa kiume nitamlea kwa misingi yote ya utu, heshima na adabu ya kujali watu wote, Yani awe na standard zote za mtu aliyestaarabika
Acha uchoyoSina cha kumshauri kwa kweli
Mawifi na wakwe hawajahi kumpenda make.Sijawahi ona wakwe Wana support uvunjifu wa ndoa ya mwanao wenye watoto, Hawa watu Ni wachawi na Wana roho ya ushetani seems huyo mke hawalambi makalio na kujipendeza au kuwanyenyekea and it's seems huyo mwanamke ndio mwenye kipato so wanamtumia huyu mchepuko kumuumiza mke mkubwa, dah inabidi kuwa makini na familia tunazoenda kuolewa nazo, Yani familia Ina support huo ujinga ptuuu
SinaAcha uchoyo
Hata eksipiriensi hauna?
Mawifi na wakwe hawajahi kumpenda make.
Ni asili tu ilivyo yaan,I really need to understand why?
Basi jibu na maamuzi tayari unayo kichwani.Nakuelewa sana
Na maneno ya watu si sheria
I have seen married people wanaishi kwa mateso sana kisa ndoa
Mtu anakufa hajawahi kujua furaha ya Maisha ni nini
Life will never be fair,haijawahi na haitotokea
Life has no formula
Hapa naona wengi wananiambia kutakuwa na bad ending
But I have seen good endings with the same situation ambayo wachache wameigusia
Sishangai hizi response hii ndio jamii na haya ndio mawazo yao
Mume wa mtu!!! hayo mambo ni ya Ulaya na Marekani kwenye ndoa za mashoga. Africa na Uarabuni tuna "mume wetu au mume wao" polygamy is part and parcel of our culture usijione kama umetenda kosa la uhaini au umekula nyama ya mtu. Kama anaweza kutimiza mahitaji ya mke wa pili fungeni ndoa ya kimila. Tusichukue kasumba za wazungu waliokataza polygamy na kuruhusu/kuhalalisha homosexual/same sex marriages na prostitution.Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi
Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.
Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi,mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.
Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.
Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.
Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.
The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.
Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba,na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine
Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali,well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.
To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.
Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.
Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea
PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Update
Japo nashambuliwa lakini nawashukuru mnaniongezea nguvu ya kufanya maamuzi although yanauma.Nyie nipeni ukweli tu ukweli ni dawa itakayo niponya
So far naona kuna dalili ya kumtumia huyu mume wa mtu since anataka mwenyewe why not,hii sio final ila kutokana na ushauri ninaona nipite namna hio
Ni kweli mkuu .Hata mimi nimeona huyo mwanamke aliyemfanyia huo ukatili ajiandae malipo yake....
Hahahahhahah hapo akili inakubali ila moyo unakataa kwa nguvu zote...ndio anabaki kuimagine good ending ni vile wengine tukiandika saaanaaa tunaweza kugundulika. Ila ningempa mfano hai kabisaaaaaMami si tulishakubakiana uolewe na single huyo mume wa mtu awe mchepuko au?
Hahaaa sio rahisi kwa huyo dada kumuacha ngosha wake... humu anawa zoom tu watu wanavyomwaga povu. Maana naona kila anavyojibu kuna namna anatafuta njia ya ku justify kuolewa kwa siri kwahiyo sidhani kama kuna litakaloongelewa humu limfanye abadili maamuzi yake.Mami si tulishakubakiana uolewe na single huyo mume wa mtu awe mchepuko au?
Yaani hapa ni kutwanga maji kwenye kinu, kabla ya kuleta uzi alishafanya maamuzi, hapa alikuwa anahitaji apate watu wambariki uamuzi wake, kama hawa wachache wafanyavyoHahaaa sio rahisi kwa huyo dada kumuacha ngosha wake... humu anawa zoom tu watu wanavyomwaga povu. Maana naona kila anavyojibu kuna namna anatafuta njia ya ku justify kuolewa kwa siri kwahiyo sidhani kama kuna litakaloongelewa humu limfanye abadili maamuzi yake.
Kabisa yaniYaani hapa ni kutwanga maji kwenye kinu, kabla ya kuleta uzi alishafanya maamuzi, hapa alikuwa anahitaji apate watu wambariki uamuzi wake, kama hawa wachache wafanyavyo