Steelomega
Senior Member
- Aug 22, 2020
- 125
- 144
[emoji23][emoji23][emoji23]unaongeza petrol kwenye moto
Wajumbe wananichana balaa mpaka akili imekaa sawa
Hatimae mmetoka hadharani , tafadhari Mswati52 endelea kuomba rehema Mungu na kwa huyu binti Maya , binti wa watu umemchanganya hajiwezi , hofu hii iliyokuingia endelea kuitamia , hata kama mkeo anakuudhi namna gani hata kama mkeo ana muuzi mama yako na dada zako , mlinde mkeo kumbuka mkeo kwanza alikufuata wewe , wewe ndie kiunganishi , kwa
Kuwa yaonyesha baba yako alitangulia , tumia nafasi yako vizuri , mali za nyumbani zisikupagawishe , mthamini mkeo , mtetee mlinde mkeo . Mkeo anakuangalia tu , usifikiri kumuongezea mke ndio utamkomoa , utakayekomoka ni wewe , huku dhambi ya kumuacha mkeo itakutafuna na huyo binti hata ukimuo nae ana dhambi ya kumsaliti mchumba wake itamtafuna na mkigombana atakuwa anamkumbu single boy wake na baadae huyu binti akishakuzoea atagundua kwako hakuwa na penzi la kweli ni alitaka security may be na umzalie mtoto ili umtunze vizuri , baadae ataanza kutafuta penza la kweli na hapo mazee , kichwa kitakupasuka and it will be too late , zaidi watoto wako kwa mkeo wa kwanza wataadhirika kisaikojia , mke wa awali utakuwa umeshamkosa huyu kigoli atakuwa hashikiki . Utabaki na
Mali zako na za kurithi utabaki ukifarijiana na ndugu zako kitu ambacho hakitakutisheza yatabaki majuto mjukuu . Msamehe mkeo kwa kukwaza wewe na familia yako ,mpende mkeo wakemee ndugu zako waambie wamuheshimi
Mkeo na kuwa radhi kukosa mali za ukoo ukaambate na mkeo na watoto wako , achana na huyo binti kuwafurahisha ndugu zako .
Nawe Maya haya mume wa mtu kaja hadharani [emoji28] anaomba michezo yenu michafu ikome , najua unaumia
Sponsor anataka kukata ufadhili , kumbuka tamaa zilimpoza fisi jikubali maisha yako wacha kujiwazia makuu kupita uhalisia wa kuweza kupata utakacho ,kumbuka maishani tunapata tunachostahili sio tunachotamanu kila mmoja ana taka maisha mazuri sana . Usiogope umri kuanza kukutupa mkono . Ni mda wako mzuri sasa kujipanga upya , na wewe mume wa mtu umeonyesha ustaarabu rudi lwa
Mkeo mkayajenge .