Trapped to a married man

Trapped to a married man

Nawambiaga watu Hamna limbwata kali kama PESA

Huyu dada nyie hamjamuelewa hivi unafkiri kuna mtu

anaweza mganda mwanaume mwenye shida na njaa kweli?

eti anapendwa na saivi wanajenga,blal ful umenogewa na pesa bana,

hamna kingine,eti tumepanga appartment Hebu sema kakupangia Appartment bana.
Kwa kweli
 
Mi nadhani namimi ungeniongeza kwenye list yako Tuwe mtu 3

hii mambo ya kuwa na mume wa mtu mmoja tu inakua hujabalace equation

niongeze hapo na mimi ili uchanganyikiwe kbsa utembee unadondosha mate ndo itanoga.
 
Asee karena fanyaga hebu upite huu mtaa,ucheke ufurahi uongeze siku za kuishi hapa duniani.
 
Siku zako za kuishi zinakuwa kwenye calculator yaani zinahesabika,...ila kama huamini ingia kwenye ndoa na mume wa mtu ambaye ana mafanikio tayari.
mimi nina ushaidi kwa kile nilichokiona kwa mdada aliyepoteza maisha yake tena kwa mateso makali.
 
Mi nadhani namimi ungeniongeza kwenye list yako Tuwe mtu 3

hii mambo ya kuwa na mume wa mtu mmoja tu inakua hujabalace equation

niongeze hapo na mimi ili uchanganyikiwe kbsa utembee unadondosha mate ndo itanoga.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hizi comment humu jamani ni balaa[emoji91][emoji91][emoji91]nacheka huku naogopa
 
Mi nadhani namimi ungeniongeza kwenye list yako Tuwe mtu 3

hii mambo ya kuwa na mume wa mtu mmoja tu inakua hujabalace equation

niongeze hapo na mimi ili uchanganyikiwe kbsa utembee unadondosha mate ndo itanoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaaa njoo ipake roho yangu rangi ili iwe nzuri mkuu, by the way mwanangu wa kiume nitamlea kwa misingi yote ya utu, heshima na adabu ya kujali watu wote, Yani awe na standard zote za mtu aliyestaarabika
cariha naomba picha yako nikuone ulivyo livyo tu...
 
Wwe mdogo lakini late 20's basi sawa
Achana na huyo mume wa mtu
 
Ila kuwa na wanaume wawili kwa wakati mmoja ni kipaji.


Cha msingi wewe endeleza kipaji chako tu.
Mume wa mtu awe mchepuko.
Olewa na huyo kijana ambae hajaoa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila kuwa na wanaume wawili kwa wakati mmoja ni kipaji.


Cha msingi wewe endeleza kipaji chako tu.
Mume wa mtu awe mchepuko.
Olewa na huyo kijana ambae hajaoa.
Kipaji cha hali ya juu halafu mtoa mada anawapenda wote .
 
We kweli una moyo wa kiume na maamuzi ya kiume na declaration za kiume. Why uteseke wakati hizi ishu zipo possible tena enzi na enzi. Sidhani kama you are the first one. Big up
Mke wangu nampenda mno na sipo tayari kumpoteza ila nimeshaamua liwalo na liwe. Yule mdada siwezi kumuacha aliwe na wahuni wengine maana jinsi ninavyomfeel siwezi hata kuelezea. Tukiwa chumbani huwa napata raha isiyokifani hivyo nimeshaamua bora nimuoe tu kuliko kumwacha akaolewa na mwanaume mwingine nikaishi a miserable life for the rest of life. Wife will have to just understand. I love her (my wife) but I'm also deeply in love with another woman.
 
Pole sana Maya🤣[emoji28][emoji16] usijali pepo linashambuliwa kila kona siku ya tatu leo litatoka tu liwe subiani/ makata / sharifu/ jini mahaba[emoji35] na utakuwa huru na utarudi hapa kuwashukuru [emoji120] wajumbe 🤝.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asanteni sana wadau mmetisha aisee
 
Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi

Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.

Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi,mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.

Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.

Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.

Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.

The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.

Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba,na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine

Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali,well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.

To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.

Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.

Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea

PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Update
Japo nashambuliwa lakini nawashukuru mnaniongezea nguvu ya kufanya maamuzi although yanauma.Nyie nipeni ukweli tu ukweli ni dawa itakayo niponya
So far naona kuna dalili ya kumtumia huyu mume wa mtu since anataka mwenyewe why not,hii sio final ila kutokana na ushauri ninaona nipite namna hio
Kama dini inaruhusu fresh tu wacha akuoe kama ahiruhusu akija leta mke wa tatu nawe kubari tu
 
Mwanaume kutamani ni asili yake na kiasili kweli mwanaume ameumbwa kutoridhika . Sijui jinsi unavyotumia imani yako na wala sijui dini yako , wala sijui makuzi yako , mabadiliko wote tunaanza kuyaona wakati wa balee hapo ni mwendo wa kuonja kwenda mbele baadae wengine tukajitambua na kuona hatari ya kuendekeza tamaa za mwili . Kutulia na mke mmoja ni kujiwekea nadhiri tu , tupo sisi ambao tunaona fahari kutulia na mke mmoja , wanawake nje tunawaona wengine wazuri wanatamanisha na siku hizi wanawake ndio wanaongoza kutega wanaume hata andiko limesema Isaya 4:1 “ na siko hiyo wanawake 7 watamshika mtu mume mmoja wakisema , tutakula chakula chetu na kuvaa nguo zetu wenyewe lakini tuitwe tu kwa jina lako utuondolee aibu yetu “ na kwa taarifa yako mimi nina mke na watoto 4 nasumbuliwa na vibinti vinaniona naweza kuvutunza na wapo wadada waliochelewa kuolewa wameshanitokea wakiomba hata niwazalishe angalau apate mtoto na mmoja kaniambia wala nisiwe na hofu yeye anachotaka ni mtoto kutoka kwangu atamlea mwenyewe mm niendelee na ndoa yangu , hawa ni mabinti na wanawake ninao fanya nao kazi maana kazini kwangu tupo wafanyakazi zaidi ya 600 bado wale tuliokuwa wote bado wadada tunaokaa mtaa mmoja , ndio nakwambia kwa limbukeni utajiona mjanja sie wengine ujinga huo hatutaki tunajua madhara yake nataka kujiwekea rekodi yangu nzuri naendeleza rekodi niliyoina kwa wazee wangu walijitunza wakatunza mama zetu , michepuko ilikuwepo lakini walishinda na wapo wanaume wengi tu kama
Wewe mlioamua kuendekeza tamaa za mwili , hudhuriq ibada za kipentekosti utanielewa nachosema hao unaosema wachungaji mashee wanaharibu ni wao pia na kuelemewa na tamaa zao kufanya kosa hakuhalalishi kosa.
Unawaonaje wanawake wazuri na wanatamanisha bila ya kuwatamani?

Apo ni misingi ya Imani yako ndo inakuzuia...lau kungekuwa na andiko la kukuruhusu uongeo sio?

Ila sizungumzii kufanya umalaya na wanawake nazungumzia kuoa ndoa ya mke zaidi ya mmoja...that is my point.
 
Back
Top Bottom