Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Nakusalimia mkuuKumbe tayari una mtu mwingine na mna chemistry sasa huko kwa huyo mume wa mtu unatafuta nini? Au ana pesa kumzidi huyo mwingine?
Follow your heart but take your brain with you.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusalimia mkuuKumbe tayari una mtu mwingine na mna chemistry sasa huko kwa huyo mume wa mtu unatafuta nini? Au ana pesa kumzidi huyo mwingine?
Follow your heart but take your brain with you.
Ukiniita Mkuu unanionea jamani Bush Baby, hebu niite jina zuri.Nakusalimia mkuu
Sawa kiongozi wanguUkiniita Mkuu unanionea jamani Bush Baby, hebu niite jina zuri.
Bush Baby jamani, tafuta lingine zuri zuri hili sijalikubali.Sawa kiongozi wangu
😁😁😁, Niambie kamanda nitumie lip?Bush Baby jamani, tafuta lingine zuri zuri hili sijalikubali.
Mkuu kama anakupenda kwanini akuombe mfunge ndoa kisiri!!!?Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi
Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.
Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi,mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.
Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.
Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.
Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.
The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.
Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba,na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine
Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali,well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.
To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.
Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.
Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea
PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Update
Japo nashambuliwa lakini nawashukuru mnaniongezea nguvu ya kufanya maamuzi although yanauma.Nyie nipeni ukweli tu ukweli ni dawa itakayo niponya
So far naona kuna dalili ya kumtumia huyu mume wa mtu since anataka mwenyewe why not,hii sio final ila kutokana na ushauri ninaona nipite namna hio
Niite Babe jamani Bush Baby.[emoji16][emoji16][emoji16], Niambie kamanda nitumie lip?
We una Bae wako bana, staki ugomvi na watu mieNiite Babe jamani Bush Baby.
Mimiii, hapana, i'm single and looking na moyo wangu umetua kwako bush baby mtoto wa chuga,[emoji173]We una Bae wako bana, staki ugomvi na watu mie
Wazee ndio wazuri nyie mna full experience, mnayajua mapenzi hamna longo longo.[emoji39]Nyau we, mi Bushmamy nshazeeka jamani mie, muulize hata kabanga
Sie Wazee ngozi simesinyaa na siku zimekoma, jua limezamaWazee ndio wazuri nyie mna full experience, mnayajua mapenzi hamna longo longo.[emoji39]
Eti Lucas Mobutu Embu nishauri, hawa Vijana wa siku hizi wametoka sayari gani mkuu?Lucas Mobutu nakuona nakuonaaaaaaaa
Ewaaaa kuhusu ngozi usijali babe wangu nitakuogeshea maziwa, siku kukoma ndio poa yaani siku zote mechi haina mapumziko hiyo, kwa kua bado macho yako yanaona basi wewe ni kijana machoni mwangu. [emoji173]Sie Wazee ngozi simesinyaa na siku zimekoma, jua limezama
Kikongwe nimependwa na kijana 😘😘Ewaaaa kuhusu ngozi usijali babe wangu nitakuogeshea maziwa, siku kukoma ndio poa yaani siku zote mechi haina mapumziko hiyo, kwa kua bado macho yako yanaona basi wewe ni kijana machoni mwangu. [emoji173]
Mbona umeguna. Mmmmmmmmhm mmmmmmmhmn
Mimi nashape kiumbe nilichokibeba tumboni miezi Tisa na hamna wa kunipangia wewe baba Baki tu kuwa sperm donor na mpumbavu huna mamlaka ya kujifanya kumlea mwanangu. So na play part zoteAliyekwambia wewe unaweza mshape tabia mtoto wa kiume ni nani....?! Wewe kazi yako ni comforter na caretaker wa familia basi..... Hayo mengine ni kiherehere, ukikua utaelewa. Baba ndie anamdesign mtoto tabia.... Ndio maana watoto kudeka kwa baba ni tofauti na deka ya kwa mama.
Kwa baba wanadeka kwa akili na wanapeleka mambo ya msingi tu, kwa mama ndio huwa wanaleta upuuzi wa kuharibikiwa tabia.