cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Hahaaa atakuwa tu ana Ni mind kimtindoPoleeeeh sana dea lol.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa atakuwa tu ana Ni mind kimtindoPoleeeeh sana dea lol.
Muulize pia anataka kuoa kwa siri au mke wa pili kwa kiislam???It feels better kujua kuna mtu ana pitia ninacho kipitia
Naomba nikuulize inamaana mkeo humpendi au ni nini kinatokea?
Utamuoaje bila wife kujua?
Umeona eeeeh?Aisee unacho jibu hapa ni kama huyu jamaa,a very confusing situation to us christians nimeanza kuwaelewa waislam kwa hili
Mimi nashape kiumbe nilichokibeba tumboni miezi Tisa na hamna wa kunipangia wewe baba Baki tu kuwa sperm donor na mpumbavu huna mamlaka ya kujifanya kumlea mwanangu. So na play part zote
Kijana kampenda kikongwe, [emoji8][emoji8]Kikongwe nimependwa na kijana [emoji8][emoji8]
Kaka mkubwa umeandika kwa hisia kali na uchungu wa hali ya juu, pole sana ungepata kikombe cha kahawa itasaidia kutuliza machungu,Wewe cariha tusi la kumuita mume wako kama umeolewa au mzazi mwenzio kama umezaa nae tu mpumbavu chanzo chake ni nini na huyo mtoto wa kiume unayejimwambafai nae sperm zimetoka kwa baba mpumbavu duuh hii kali so kidume ni mwana mpumbavu uhoni tayari umeshamdesign your beleved son mpumbavu tayari huyo ataweza kuwa na positive attitude kweli wakati mama mtu una negative attitude kuhusu baba yake , Unajidanganya na unaota ndoto za mchana . Hapo juu ulisema katika family yako hakuna domestic abuse na hiyo ya kumuita mume wako mpumbavu na hana mamlaka ya kulea mtoto aliye kudonate sperm akazaliwa huyo son ni nini na umeleta GBV ( gender base violence) katika family yako mwenyewe kwa kumtenga mzazi mwenzio au mlikubaliana hivyo , umpanulie mapaja akukojolee then asepe zake wewe ubaki na sperm zake yeye atambae zake asikujue tena .
Umekosea kuzaa na mwanaume wewe ungeenda hospital ukapandikizwa mbegu hapo ungekuwa salama , lakini uzae na mwanaume halafu umwiite mpumbavu hana mamlaka ya kulea mwanenu unageuza mwanao , hutabaki salama unayejiona gumegume uliyeshindikana , unavimbishwa kichwa na hao akina cocastic mtaishia kusagana maana wote yaonyesha mna hasira kali kwa ME na nyie ndio wale mnafanya mazoezi ya kupindua meza kung’oa nafasi ya Baba kichwa cha familia mnajisikia vibaya inaposemwa baba ni kiongozi wa familia mnataka ijulikane mama ndiye kiongozi wa familia baba ni sperm donnor tu , endeleenj kupambana na Mungu , Mungu ninayemjua mimi hadhihakiwi kama wewe cariha unabisha na kama humjui Mungu maana Mungu wako wewe ana anaanzia na herufi ndogo ‘ mungu’ huyo ni lusifa sio Mungu YEHOVA ABA YEHOVA NISI YEHOVA SHAMAH , Mungu huona yote yaliomi mioyoni mwa wanadamu , huona hila zote , na hila kama hizo cariha utaweza fanikiwa tu kuwafanyia fujo wanaume lakini kwa Mungu ashushae vipigo kama alivyoshusha corona maana sodoma
Na gomora ilivyochomwa mtasema mlikuwepoo sasa hivi corona Dunia nzima imejua na wewe cariha umeshudia kwa barakoa ni hasira ya Mungu kwa kuadhibu wanadamu wenye uovu wa kila namna kinyume na maagizo yake nakuachia upambane na Mungu aliyeumba hao wanaume na akawapa mamlaka ya kuwatawala nyie wanawake lakini mmeamua kuwa wafuasi wa shetani kwa kujua au bila kujua walianza wazungu , tunaona wanavyokupita na corona na wameshafanikiwa kuvunja taasisi ya ndoa sasa wameamia Africa , mmeshapokea na dollar zao na mmeamua kujilipua , jilipueni pia lakini navyowajua waafrika na ninavyowajua watanzania hamtafanikiwa mtafanikiwa kupata pesa zao lakini hamtaweza kuiharibu jamii ya kitanzania na omba serikali hii ya awamu ya tano isiwashtukie mtaaibika.
Kaka mkubwa umeandika kwa hisia kali na uchungu wa hali ya juu, pole sana ungepata kikombe cha kahawa itasaidia kutuliza machungu,
Lakini naomba tu nikwambie huu ni mtandao usipende kuchukulia mambo serious.
Duh mkuu, Vip mbona Kikongwe katukanwa sana hapa nini shida?Hayo ni maoni yako ,Kijana utapoteza focus yako kwa kikongwe wako [emoji16] usijibalaguzie kwangu ,au nikuletee lita 10 za maziwa ukamkande ngozi iliyonyauka ya kikongwe wako uliyemnyegesha kanyegesheka ,usione soo mfate 🤣, mimi najiandikia for leisure pia naandika nachoamini kama somo kwa wengine maana hata mimi nanufaika na kuelimika ninaposoma articles za wengine zenye maudhui mukhtatha.
We switii si unaona nilivyotukanwaKaka mkubwa umeandika kwa hisia kali na uchungu wa hali ya juu, pole sana ungepata kikombe cha kahawa itasaidia kutuliza machungu,
Lakini naomba tu nikwambie huu ni mtandao usipende kuchukulia mambo serious.
😃😃 jfWewe cariha tusi la kumuita mume wako kama umeolewa au mzazi mwenzio kama umezaa nae tu mpumbavu chanzo chake ni nini na huyo mtoto wa kiume unayejimwambafai nae sperm zimetoka kwa baba mpumbavu duuh hii kali so kidume ni mwana mpumbavu uhoni tayari umeshamdesign your beleved son mpumbavu tayari huyo ataweza kuwa na positive attitude kweli wakati mama mtu una negative attitude kuhusu baba yake , Unajidanganya na unaota ndoto za mchana . Hapo juu ulisema katika family yako hakuna domestic abuse na hiyo ya kumuita mume wako mpumbavu na hana mamlaka ya kulea mtoto aliye kudonate sperm akazaliwa huyo son ni nini na umeleta GBV ( gender base violence) katika family yako mwenyewe kwa kumtenga mzazi mwenzio au mlikubaliana hivyo , umpanulie mapaja akukojolee then asepe zake wewe ubaki na sperm zake yeye atambae zake asikujue tena .
Umekosea kuzaa na mwanaume wewe ungeenda hospital ukapandikizwa mbegu hapo ungekuwa salama , lakini uzae na mwanaume halafu umwiite mpumbavu hana mamlaka ya kulea mwanenu unageuza mwanao , hutabaki salama unayejiona gumegume uliyeshindikana , unavimbishwa kichwa na hao akina cocastic mtaishia kusagana maana wote yaonyesha mna hasira kali kwa ME na nyie ndio wale mnafanya mazoezi ya kupindua meza kung’oa nafasi ya Baba kichwa cha familia mnajisikia vibaya inaposemwa baba ni kiongozi wa familia mnataka ijulikane mama ndiye kiongozi wa familia baba ni sperm donnor tu , endeleenj kupambana na Mungu , Mungu ninayemjua mimi hadhihakiwi kama wewe cariha unabisha na kama humjui Mungu maana Mungu wako wewe ana anaanzia na herufi ndogo ‘ mungu’ huyo ni lusifa sio Mungu YEHOVA ABA YEHOVA NISI YEHOVA SHAMAH , Mungu huona yote yaliomi mioyoni mwa wanadamu , huona hila zote , na hila kama hizo cariha utaweza fanikiwa tu kuwafanyia fujo wanaume lakini kwa Mungu ashushae vipigo kama alivyoshusha corona maana sodoma
Na gomora ilivyochomwa mtasema mlikuwepoo sasa hivi corona Dunia nzima imejua na wewe cariha umeshudia kwa barakoa ni hasira ya Mungu kwa kuadhibu wanadamu wenye uovu wa kila namna kinyume na maagizo yake nakuachia upambane na Mungu aliyeumba hao wanaume na akawapa mamlaka ya kuwatawala nyie wanawake lakini mmeamua kuwa wafuasi wa shetani kwa kujua au bila kujua walianza wazungu , tunaona wanavyokupita na corona na wameshafanikiwa kuvunja taasisi ya ndoa sasa wameamia Africa , mmeshapokea na dollar zao na mmeamua kujilipua , jilipueni pia lakini navyowajua waafrika na ninavyowajua watanzania hamtafanikiwa mtafanikiwa kupata pesa zao lakini hamtaweza kuiharibu jamii ya kitanzania na omba serikali hii ya awamu ya tano isiwashtukie mtaaibika.
Hahahaha mimi siwezi kupoteza focus kwa kikongwe wangu, hapa namuandalia tiketi tu aje kwangu sigimbi tule raha, [emoji39]Hayo ni maoni yako ,Kijana utapoteza focus yako kwa kikongwe wako [emoji16] usijibalaguzie kwangu ,au nikuletee lita 10 za maziwa ukamkande ngozi iliyonyauka ya kikongwe wako uliyemnyegesha kanyegesheka ,usione soo mfate [emoji1787], mimi najiandikia for leisure pia naandika nachoamini kama somo kwa wengine maana hata mimi nanufaika na kuelimika ninaposoma articles za wengine zenye maudhui mukhtatha.
Hajakutukana babe anapenda kuandika mashairi ndio shida, achana nae tu.We switii si unaona nilivyotukanwa
Asante switii wangu,😘Hajakutukana babe anapenda kuandika mashairi ndio shida, achana nae tu.
[emoji8]
Karibu sana asali wangu wa moyo, [emoji173]Asante switii wangu,[emoji8]
Duh mkuu, Vip mbona Kikongwe katukanwa sana hapa nini shida?
Sawa Kijana, uzee tabu tupuMnisanehe bure nimeingilia mazungumzo yenu , mngeambiana inbox basi kuhusu kukandana ngozi , siku kukoma na kugegedana huko si kutongozana ndio kunyegeshana huko wewe kunyegeshana unatafsiri ni tusi basi mtandaoni wewe hukuwezi huku kuna maneno makali labda hujakutana nayo[emoji848]
Kwann unataka ushauri wakati unajua una maamuzi yako, all you want to hear "its okay to fall a married man!Sawa Asante kwa Ushauri wako nitauweka katika maamuzi yangu
Sawa Kijana, uzee tabu tupu
Asante switii wangu,[emoji8]
Mdogo wangu Mungu kakupa dhahabu mbili anataka uchague. Mimi ningekuwa wewe mingechagua huyo ambae hana Mke.Asante sana nimeupokea ushauri [emoji1374]