mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Hahaa hamna bana sista, bado tunakupenda dada yetuKweli nyumbani mmenichoka khaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa hamna bana sista, bado tunakupenda dada yetuKweli nyumbani mmenichoka khaaa
Ogopa sana Mwanaume kushindwa Kuipa thamani familia yako kwanza badala yake unaendekeza hisia uchwaro na nyege kisa umepata mwanamke mpya...!! NI AIBUU NA UJINGA MKUBWA.We kweli una moyo wa kiume na maamuzi ya kiume na declaration za kiume. Why uteseke wakati hizi ishu zipo possible tena enzi na enzi. Sidhani kama you are the first one. Big up
Mzee wa kula tunda kimasiara umetisha bonge la komenti [emoji106][emoji106][emoji106] umeongea ukweli mtupuOgopa sana Mwanaume kushindwa Kuipa thamani familia yako kwanza badala yake unaendekeza hisia uchwaro na nyege kisa umepata mwanamke mpya...!! NI AIBUU NA UJINGA MKUBWA.
Yani ndoa haina tatizo lolote mna amani tele lakini Mwanaume mpumbavu analeta uvulana wa kumuacha mkewe sababu tu amempenda mwanamke mwingine sasa sijui anadhani mke wake haoni wanaume bora zaidi yake huko nje au Sababu ushamzalisha unaona hana thamani tena??? Mpe thamani mkeo so long anakupa furaha jitahidi sana kutunza familia yako watoto wanapokuwa watoto wa nje au wakambo hakika ni mateso makubwa sana sema ndo Uvulana umetawala wanaume wengi wanaooa siku hizi.
Mwanaume Muache mkeo tena kwa mbinde yani umepigani mpaka point ya mwisho imeshindikana kuendelea kuwa pamoja sio mpo vizuri umepata kimwanamke huko nje unaanza kuleta visa ndani Aibu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pamoja sana mkuu..!! Uzi wetu unaniuma sana ngoja nibadilishe na avatar[emoji22][emoji22]Mzee wa kula tunda kimasiara umetisha bonge la komenti [emoji106][emoji106][emoji106] umeongea ukweli mtupu
Ogopa sana Mwanaume kushindwa Kuipa thamani familia yako kwanza badala yake unaendekeza hisia uchwaro na nyege kisa umepata mwanamke mpya...!! NI AIBUU NA UJINGA MKUBWA.
Yani ndoa haina tatizo lolote mna amani tele lakini Mwanaume mpumbavu analeta uvulana wa kumuacha mkewe sababu tu amempenda mwanamke mwingine sasa sijui anadhani mke wake haoni wanaume bora zaidi yake huko nje au Sababu ushamzalisha unaona hana thamani tena??? Mpe thamani mkeo so long anakupa furaha jitahidi sana kutunza familia yako watoto wanapokuwa watoto wa nje au wakambo hakika ni mateso makubwa sana sema ndo Uvulana umetawala wanaume wengi wanaooa siku hizi.
Mwanaume Muache mkeo tena kwa mbinde yani umepigani mpaka point ya mwisho imeshindikana kuendelea kuwa pamoja sio mpo vizuri umepata kimwanamke huko nje unaanza kuleta visa ndani Aibu sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] no no no no usibadil avatar kamanda kati ya moja la uzi linalosumbua humu jf ni kula tunda kimasiara kwa mabaharia wanaelewa ninachokizungumza[emoji14][emoji14][emoji14][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pamoja sana mkuu..!! Uzi wetu unaniuma sana ngoja nibadilishe na avatar[emoji22][emoji22]
Leo baharia kaongea point hivi[emoji119]wasipoelewa hapa hawataelewa tenaaOgopa sana Mwanaume kushindwa Kuipa thamani familia yako kwanza badala yake unaendekeza hisia uchwaro na nyege kisa umepata mwanamke mpya...!! NI AIBUU NA UJINGA MKUBWA.
Yani ndoa haina tatizo lolote mna amani tele lakini Mwanaume mpumbavu analeta uvulana wa kumuacha mkewe sababu tu amempenda mwanamke mwingine sasa sijui anadhani mke wake haoni wanaume bora zaidi yake huko nje au Sababu ushamzalisha unaona hana thamani tena??? Mpe thamani mkeo so long anakupa furaha jitahidi sana kutunza familia yako watoto wanapokuwa watoto wa nje au wakambo hakika ni mateso makubwa sana sema ndo Uvulana umetawala wanaume wengi wanaooa siku hizi.
Mwanaume Muache mkeo tena kwa mbinde yani umepigani mpaka point ya mwisho imeshindikana kuendelea kuwa pamoja sio mpo vizuri umepata kimwanamke huko nje unaanza kuleta visa ndani Aibu sana.
Unawaonaje wanawake wazuri na wanatamanisha bila ya kuwatamani?
Apo ni misingi ya Imani yako ndo inakuzuia...lau kungekuwa na andiko la kukuruhusu uongeo sio?
Ila sizungumzii kufanya umalaya na wanawake nazungumzia kuoa ndoa ya mke zaidi ya mmoja...that is my point.
Umebaki kwenye Historia tu...!![emoji23][emoji23]Max kaona mambo yasiwe mengii...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] no no no no usibadil avatar kamanda kati ya moja la uzi linalosumbua humu jf ni kula tunda kimasiara kwa mabaharia wanaelewa ninachokizungumza[emoji14][emoji14][emoji14]
Hakuna kitu, kushney lolApeche alolo hapooo umeniacha leo... (kwako mwl.kashasha)
Hahaha ata kama nikiwa na stress zang naupitia nione watu walivyokulana kimasiara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umebaki kwenye Historia tu...!![emoji23][emoji23]Max kaona mambo yasiwe mengii...
Aseee[emoji848][emoji848][emoji848]Mke wangu nampenda mno na sipo tayari kumpoteza ila nimeshaamua liwalo na liwe. Yule mdada siwezi kumuacha aliwe na wahuni wengine maana jinsi ninavyomfeel siwezi hata kuelezea. Tukiwa chumbani huwa napata raha isiyokifani hivyo nimeshaamua bora nimuoe tu kuliko kumwacha akaolewa na mwanaume mwingine nikaishi a miserable life for the rest of life. Wife will have to just understand. I love her (my wife) but I'm also deeply in love with another woman.
Ha ha ha ha,[emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]Wewe bana sikiliza..!
Kwanza, wengi wanaojidai kukushangaa hapa hasa wanawake, wao wenyewe wanatembea na waume za watu!!
Pili kama ulivyosema wewe, maisha ni mafupi haya, wanaosema ooh vumilia sijui usiipe nafasi furaha ya muda mfupi... wee usiwasikilize hao wana stress zao. Bora furaha ya muda mfupi kuliko kukosa kabisa furaha. Hakuna zawadi utakayopewa kwa kuishi maisha ya tabu. Maisha ni hayahaya usipoenjoy sasahivi ndio basi tena.
Ushauri: We chakufanya, olewa na hako kakijana kanakokupenda ila usiachane na yule mume wa mtu. Badala ya kufunga ndoa kisirisiri ambapo itakulazimu kuachana na yule kijana, wewe olewa na kijana huku ukiendelea kumfaidi mume wa mtu. Nina uhakika mume wa mtu hatakua na pingamizi katika hilo. Hii itakua ni win win situesheni.
[emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]Wwawili ? me nawapenda wanne na wao kila mmoja anajua yeye ndio ataolewa ila mim sasa najua mmoja ndio ntamwoa hawa wengine watanisamehe kwakweli. Sasa the funy part is huyu ambae ndio ntamwoa akinizingua si ntabaki na hawa watatu ? sasa basi hawa watatu hawapo kwene list ya wake zangu nitatafuta mwingine kabisaa. Dunia hii daaah
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]Wadau wanakushangaa kupenda wanaume wawili kwa mpigo usijisikie maumivu sana kwani ukiyajua ya kwao hakika utaduwaa,,
Ukiolewa na bachelor basi mume wa mtu atakuwa mchepuko na heri iwe hivi kuliko kuolewa na mume wa mtu kwa ndoa ya Siri,
Pole mkuu kama vipi achana nao wote
Hivi zile storee ni za kweli?kwa wakati wako dada pitia ukurasa wa iddi makengo yuko insta, utakutana na visa vya wengine vinavyofanana na chako na wako wanaojuta. wengi wametapeliwa mali zao na kuachwa masingle mom.
[emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]Mimi hapa nimeshafika mbona haunioni.... Au hadi nikulambe kofi ndio ujue nimefika.
[emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]Unasubiria nini sasa, ongea hayo mashudu tukuwashir moto hadi ujute..... [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Na suala la kuoa mke wa pili ukristo hauruhusu....Kijana kuwa mwepesi kuelewa , kutokana na udhaifu wa mwili ambao unatamani unapoona mwanamke mwili hauna adabu kama wenyewe ukiona mwanamke unatamani lakini utashi wa kujizuia upo kwenye nafsi yako wewe mwanaume , ndio maana nilikujliza wewe dini gani maana mimi ni mpentekosti tuna ibada za kufunga , kufunga kunasaidia kuutiisha mwili na mawazo na tamaa zake , sijui kama umewahi experience kuutisha mwili , Mtume Paulo kwenye biblia ni mfano mzuri kifupi unaweza kuangalia kitamanicho na usikitamani yaani unapotezea , nadhiri yako tu wala sio suala la uchumi wala afya wala kutokuwa rijali . Na suala la kuoa mke wa pili ukristo hauruhusu ila
kwa waislamu dini inaruhusu .
Na suala la kuoa mke wa pili ukristo hauruhusu....
Hii ndo point...hatimaye nimekuelewa.