Trapped to a married man

You don't love that girl, all you like from her is how good she is on bed. Upendo hauelezeki, upendo haunyambuliki kama unavouelezea na kuunyambulisha.
 
Uwe makini sana kuujua upendo wa mtu kwako.

Binafsi kwa maelezo na historia ya nyuma mlonayo nadhani kuna kitu kama agano flani linalowavuta kujikuta mpo pamoja tena. Chunguza kwa makini sana, ikiwa ni agano maana mlishajuana zamani, baadae mtazaa na atakaa juu. Si kwamba anafanya makusudi ila ile dhambi ikishafanyika huwa inaficha ukweli mwingi na ndio maana vijana wengi husema "love is blind", in most cases love isn't blind until you have sex.

Ushauri:
Kwanin upande mishikaki akati waweza pata Boda yako mwenyewe? Naona uwezo wako wa maamuzi umefungwa maana kiakili za kawaida huwezi muacha mwanaume utakayekuwa huru nae ukakae na mwanaume ambaye mtakua mnapeana zamu na mwanamke mwenzako.
 
Hivi kwanini mnaoaga nyie ma man wenzangu?

Hizi mbuzi kama hii unaiweka ndani ya nini?
Hizi ni ku hit and run.

#YNWA
 
Hatelekezi familia anaendelea kuhudumia familia kama kawaida
Na nimejiwekea boundaries siwezi kumuingilia bi mkubwa
As much as I want to feel guilty about this lakini pia moyo wangu una haki pia
Mbona unataka kuhalalisha huu uhuni Dada?

Hiyo haikubaliki anza na huyo single tafuteni vyenu .
Hujui huyo jamaa na mkewe wametoka wapi
 
Heri hili kaburi limefukuliwa. Mtoa mada yupo thread mpya ya usaliti anamwaga jeuri yake kule

🤣🤣🤣🤣🤣umehama kule umekuja huku
Karibuni mjaze comments inaonekana mna hasira na maisha ya wengine
Comment ziwe fupi fupi ntapitia siku nikipata muda[emoji1422]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umehama kule umekuja huku
Karibuni mjaze comments inaonekana mna hasira na maisha ya wengine
Comment ziwe fupi fupi ntapitia siku nikipata muda[emoji1422]

Wamepanik hadi wamekufukunyua na vtu ambavo hata havihusiani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani ukiona hvo ujue uliwashika pabaya.. wanataka kusikia habari za wanawake kulalamika na kujikosesha furaha kisa wao chief endelea na huo ujeuri i love women like us[emoji1309]
 
Interesting indeed!
 
Imebidi ni login nitie neno hapa.

ni fikra rahisi, hujui amepitia nini kwa mkewe, hadi kuzama kwako. Hicho anachokifuata kwako ipo siku kitaisha, au atakichoka au atakipata kwingine. Jiandae kuisoma namba.

pili, nikuambie kama mwanaume, tulivyo sisi hata uwe mzuri aje, hata utufanyie kila kitu, hata utoe tako, kuna muda mwanamke tunamkinai na kumuona wa kawaida, hapo ndipo jiandae kuona mtu anarudi kwa mkewe na time hyo ushakua single mother tayari.

tatu, mke wa huyo jamaa unadhani atakubali? Jiandae kurogwa au kufanyiwa malipizi yanayoweza kukuacha kilema(kama usipopata bahati ya kufa).

nne, jiandae kubeba masononeko ya watoto wa mke wa huyo jamaa.

ushauri, si kila tukitakacho wanadamu tunakipata, sbb vingine mazingira hayaruhusu. Ndio maana ya kuwa mtu mzima. Oana na huyo unmarried guy.
 
Mwenye Uzi kakimbilia kulee
Ni vile tu hawezi kuufuta huu.

Hahahaha

Mbona huku hujichanganyi kuni quote dada
yani nikimbie uzi wangu??kwani nimeua??We unafikiri kila mwanamke mwepesi mwepesi eeh[emoji28][emoji28][emoji28]huamini kuna watu kama sisi

Nimekuuliza unataka kushare Dudu na Mimi?hebu nijibu basi muda unaenda na mume anakaribia kurudi[emoji4]
 
Ukiona mtu anakutukana ujue hana hoja ya msingi maana kama ni makosa wewe siyo wa kwanza!!

Kimsingi mapenzi ni mpatano wa hisia baina ya wapendanao, hivyo siyo vizuri kusema ulikuwa hujielewi, kwa kuwa wewe ni mwanamke na kwa mujibu wa maelezo yako umesema hujaolewa basi haina shida maana kimaumbile (kwa asili) mwanamke hawezi kuolewa na wanaume wawili, lakini asili hiyo hiyo imempa Mwanaume uwezo wa kuoa wake hata mia moja kutegemeana na afya yake na nguvu ya uchumi alionao.

Kwa hiyo ikiwa na wewe umempenda kwa dhati na unahisi anafaa kuwa mumeo basi kubali kuolewa naye kwa ndoa rasmi ila mwambie isiwe ndoa ya siri ahakikishe kuwa ndugu zake pamoja na mke wake wanajua kwa ajili ya kuondoa mazonge na sintofahamu inayoweza kutokea siku za mbeleni.

Kama ni mkristo na dini yake hairuhusu kuoa wake wengi, mshauri mfunge ndoa ya kiserikali au kimila maana kiukweli MUNGU hajawahi kumpangia binadamu (Mwanaume) idadi ya wanawake wa kuoa bali ni sheria zetu tu. (Hata waislamu hawakupangiwa kuoa wake wanne na MUNGU bali utaratibu huo uliwekwa na waliobaki baada ya Mtume Muhamad SW kwenda zake) Kama huamini chunguza Biblia uone kama kuna nabii aliyekuwa na mke mmoja (hakuna) walioa wake wengi na hakuna mahali tumeona wakihukumiwa dhambi kwa kuoa wake wengi.

Nakutakia ndoa njema!!!
 
Wife yuko njema pia na ninampenda mno na sipo tayari kumuacha ila ndio hivyo nampenda mwanamke mwingini pia mkuu.
Maoni yangu ni kuwa kama unaweza kuwahudumia wote wawili pamoja na wanao muoe tu, ila hakikisha ndoa inakuwa rasmi na mkeo pamoja na ndugu zako na ndugu zake wanajua ili kuepusha sintofahamu pale utakapokuwa umetangulia mbele ya haki (Sikuombei kifo cha mapema)
 
It feels better kujua kuna mtu ana pitia ninacho kipitia
Naomba nikuulize inamaana mkeo humpendi au ni nini kinatokea?
Utamuoaje bila wife kujua?

Mioyo ya wanaume imeumbwa inapenda Zaidi ya mwanamke mmoja, ila binaadamu tu wenyewe tunakuwa wabishi.

Mwanamme hajaumbiwa mwanamke mmoja, na ndio maana wanawake wakawa wengi sana kwenye dunia ili washee waume.
 
Kwanini usimlaani huyo mwanaume mboo mkononi, dada katongozwa na mwanaume hajatulia then milaana una mpa mwanamke, huwa sielewi hizi double standard aisee.
 
🤣🤣🤣🤣🤣umehama kule umekuja huku
Karibuni mjaze comments inaonekana mna hasira na maisha ya wengine
Comment ziwe fupi fupi ntapitia siku nikipata muda[emoji1422]
Tunakutakia ndoa njema. Hiyo umeniambia kule kuwa inakuja soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…