Trapped to a married man

Cha mtu kweli cha mtu tu, jirani kahama mtaa kahama na mke wake[emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Kwanini usimlaani huyo mwanaume mboo mkononi, dada katongozwa na mwanaume hajatulia then milaana una mpa mwanamke, huwa sielewi hizi double standard aisee.
Cariha.
nadhani hujanielewa. Mimi ni nani nilaani mtu. Hapa tunamshauri Maya, hao wanaomtongoza sio concern hapa, na suala ni choice ya A or B sio who is the devil to curse. Nimemkubali huyu dada ni brave na sio mnafiki na mimi nimeshauri in light of what are at stake.
 
Mimi naona umeamu kuolewa naye kwa sababu ya mazoea uliyoyaendekeza. Kama mliachana kwanini ukubali kumrudia?
Pili mkifunga kwa siri hiyo ndoa ina maana mke wake hatakuja kujua?
Amka katika usingizi huu wa mapenzi, na matamanio, je ungekuwa umeolewa wewe na mwanaume anafanya hivyo kwa mwanamke mwingine, wewe ungejisikiaje?
Kumbuka penda kutenda yale ambayo na wewe unapenda kutendewa.
Mwache huyo mwanaume, mfuatilie huyo mwingine ambaye hajaoa.
 
Kama ambavyo wewe unawapenda wote wawili na unashindwa kujigawa pia hali kama hiyo yaweza kumtokea mtu mwingine.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
It feels better kujua kuna mtu ana pitia ninacho kipitia
Naomba nikuulize inamaana mkeo humpendi au ni nini kinatokea?
Utamuoaje bila wife kujua?
Mbona jibu unalo? Ikiwa wewe umekiri unawapenda wanaume wote wawili na hujui uolewe na nani.. Ndio hivyo inatokea umeshaoa na ukampenda mwengine na mkeo ukampenda Kama kawa japo Pacentage haitakuwa sawa
 
Japo ni mgeni jukwaa hili, ila naanza kwa kusema malipo ni hapa hapa duniani. Pia waweza kudhani umepata kumbe umepatikana
Ndoa ni agano linaloshuhudiwa na Mungu, ni unganiko lenye baraka za Mungu, hivyo haitakiwi kuwa na uchafu wowote, kuingilia ndoa ya watu huo ni uchafuzi.

Kuolewa na mme wa mtu huku ukijua hiyo ni dhuluma, kumbuka Mungu uisikia zaidi sauti ya mwenye haki na aliyedhulumiwa. Unaweza kuolewa ila hautopata furaha, amani na kizazi chako kitarithi laana unayotaka kujichumia,muda bado unao jitoe kwenye laana hiyo, unusuru na kizazi chako.

Pia kama ni mkristo na huyo mme ni mkristo pia, mnajitekenya wenyewe tu, maana hakuna ndoa juu ya ndoa. Hiyo ndoa ya pili mtakayofunga ni ubatili mtupu, pia itakuletea shida baadae.
Nakushauri kuacha kucheza na hisia za watu, upendo usiujenge kwenye msingi wa vitu.
Ushauri wangu ndio huo ila ukitaka kushupaza shingo endelea tu, maana wahenga walisema Kenge hasikii hadi atokwe na damu masikioni.
 
Follow your heart!
 
Ndoa yako ya kisirisiri inaweza isiwe valid Kama ndoa yake ya awali inatambulika ni ya mke mmoja.
Pia hawa watu huwa wanarudi kwa wake zao akili zikiwarudia.
Kama mke wake hana makosa machozi yake yatawafata kila Kona.
Mambo mengine ni matamu lakini ni afadhali uyaachilie yapite....maumivu utakayoyapata baadae unaweza usiweze kuyavumilia.

Kama kweli anakupenda avunje ndoa yake ya Kwanza ili awe free kukuoa wewe.
Why iwe siri! Jamaa ana tatizo!
 
Muda mrefu umepita. Unaweza kutupa mrejesho wa kinachoendelea sasa?
Vipi mlifanikisha kufunga hiyo ndoa ya siri na mume wa mtu? Au umeolewa na huyo kaka mwingine ambae alikua hajaoa bado? Maya Angelou
 
Muda mrefu umepita. Unaweza kutupa mrejesho wa kinachoendelea sasa?
Vipi mlifanikisha kufunga hiyo ndoa ya siri na mume wa mtu? Au umeolewa na huyo kaka mwingine ambae alikua hajaoa bado? Maya Angelou

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]aisee kuna muda naona maisha yangu kama movie
Mambo mengi yametokea
Nimeolewa na mwingine si kati ya hao wawili
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]aisee kuna muda naona maisha yangu kama movie
Mambo mengi yametokea
Nimeolewa na mwingine si kati ya hao wawili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah weee
 
Kwa hiyo unajaribu kuniambia mpango wangu wa kuhamia Dubai mwezi dec, zinaweza pigwa sarakasi nikajikuta nipo Loliondo[emoji23][emoji23][emoji23].

Tupe hekaya ilikuaje

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa ndio utaamini Mungu fundi
Mambo yametokea mengi hapo katikati
Kitu nimejifunza ukiwa kwenye heka heka za dunia mlilie Mungu tu ndio anakupa majibu sahihi na uwe mvumilivu kusubiri majibu yake
Nikisoma ushauri wa watu humu plus mambo yaliyo tokea naishia kusema hiii in magus voice
 
daah kaoa mwinginee kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…