Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cariha.Kwanini usimlaani huyo mwanaume mboo mkononi, dada katongozwa na mwanaume hajatulia then milaana una mpa mwanamke, huwa sielewi hizi double standard aisee.
Mimi naona umeamu kuolewa naye kwa sababu ya mazoea uliyoyaendekeza. Kama mliachana kwanini ukubali kumrudia?Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi
Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.
Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi, mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.
Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.
Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.
Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.
The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.
Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine.
Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali, well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.
To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.
Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.
Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea
PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Update
Japo nashambuliwa lakini nawashukuru mnaniongezea nguvu ya kufanya maamuzi although yanauma.Nyie nipeni ukweli tu ukweli ni dawa itakayo niponya
So far naona kuna dalili ya kumtumia huyu mume wa mtu since anataka mwenyewe why not,hii sio final ila kutokana na ushauri ninaona nipite namna hio
Mbona jibu unalo? Ikiwa wewe umekiri unawapenda wanaume wote wawili na hujui uolewe na nani.. Ndio hivyo inatokea umeshaoa na ukampenda mwengine na mkeo ukampenda Kama kawa japo Pacentage haitakuwa sawaIt feels better kujua kuna mtu ana pitia ninacho kipitia
Naomba nikuulize inamaana mkeo humpendi au ni nini kinatokea?
Utamuoaje bila wife kujua?
NakaziaNaomba update tafadhali !
Follow your heart!Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi
Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.
Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi, mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.
Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.
Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.
Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.
The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.
Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine.
Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali, well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.
To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.
Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.
Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea
PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Update
Japo nashambuliwa lakini nawashukuru mnaniongezea nguvu ya kufanya maamuzi although yanauma.Nyie nipeni ukweli tu ukweli ni dawa itakayo niponya
So far naona kuna dalili ya kumtumia huyu mume wa mtu since anataka mwenyewe why not,hii sio final ila kutokana na ushauri ninaona nipite namna hio
Nakazia
Muda mrefu umepita. Unaweza kutupa mrejesho wa kinachoendelea sasa?Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi.

Muda mrefu umepita. Unaweza kutupa mrejesho wa kinachoendelea sasa?
Vipi mlifanikisha kufunga hiyo ndoa ya siri na mume wa mtu? Au umeolewa na huyo kaka mwingine ambae alikua hajaoa bado? Maya Angelou
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah weee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]aisee kuna muda naona maisha yangu kama movie
Mambo mengi yametokea
Nimeolewa na mwingine si kati ya hao wawili
Hongera sana![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]aisee kuna muda naona maisha yangu kama movie
Mambo mengi yametokea
Nimeolewa na mwingine si kati ya hao wawili
Kwa hiyo unajaribu kuniambia mpango wangu wa kuhamia Dubai mwezi dec, zinaweza pigwa sarakasi nikajikuta nipo Loliondo😂😂😂.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]aisee kuna muda naona maisha yangu kama movie
Mambo mengi yametokea
Nimeolewa na mwingine si kati ya hao wawili
Kwa hiyo unajaribu kuniambia mpango wangu wa kuhamia Dubai mwezi dec, zinaweza pigwa sarakasi nikajikuta nipo Loliondo[emoji23][emoji23][emoji23].
Tupe hekaya ilikuaje
daah kaoa mwinginee kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa ndio utaamini Mungu fundi
Mambo yametokea mengi hapo katikati
Kitu nimejifunza ukiwa kwenye heka heka za dunia mlilie Mungu tu ndio anakupa majibu sahihi na uwe mvumilivu kusubiri majibu yake
Nikisoma ushauri wa watu humu plus mambo yaliyo tokea naishia kusema hiii in magus voice