Trapped to a married man

Hayajakukuta best
Mapenzi sio suala la uhuru tu
Ni connection na mwenzio
Urafiki, kuelewana ,kupendana nk nk

kuwa na uhuru na mtu haimaanishi ndo mtapendana
Waume za watu ni wengi why aangukie kwa huyo?mapenzi tu si kingine
 
Maya ushawahi toka kimapenzi na huyu single?
 
Tukisema nyie viumbe ni tatizo mnakuwa wakali, do you even hear yourself? Kama kweli anakupenda si angemuacha huyo mke wake? your just another easy victim in so called pleasure play hamna cha zaidi.
Utakuta kuna jamaa yuko single anakutolea macho na umemturn down for such fake promises and day dreams wake up madame..

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Unaambiwa " ndoa ya kisirisiri" and still you believe he loves you very much kiasi cha kukuweka njiapanda ati hujui cha kuamua?? Amazing! Try to convince him to divorce his wife ili akuoe wewe openly hapo utaelewa how married man real act.
Usihadaike na kujulikana kwenye familia yake, eti na wao wanaungana na nyie kwenye ndoa ya siri?? Trust me, siku utakayokubali kuolewa kisiri, ndo siku mateso yako yatakapoanza and you will regret.

All the best
 
Ulikuwa unamfinyia kwa ndani nn!? [emoji23] [emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aah best acha basi hio ni daily routine sio ajabu🤣🤣[emoji1436]‍♀️[emoji1436]‍♀️[emoji1436]‍♀️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aah best acha basi hio ni daily routine sio ajabu[emoji1787][emoji1787][emoji1436]‍[emoji3601][emoji1436]‍[emoji3601][emoji1436]‍[emoji3601]
[emoji23] Kwa mwenzoo ni mageni[emoji1787]
 
Hebu tupe hekaya ilikuwaje wale wawili waliokufungulisha Uzi ukatemana nao na Kisha ukaolewa na mwingine?

Nitakuja kuweka update hapa ili nipunguze maswali since ni kisa nikileta hapa hopefully kuna kitu cha kujifunza labda
 
Je, unadhani anakupa furaha ya moyo? Niwe straight ie Sexual satisfaction?

Furaha ya moyo ndio,nadhani ni mtu ambae nime connect naë kuliko mtu yoyote,mahusiano yetu ni urafiki zaidi ya mapenzi hili nililijua baada ya kuachana na mume wa mtu na kurudi kwake tu
Sexual satisfaction hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…