Trapped to a married man

Trapped to a married man

Mapenzi oooh!Hivi vitu vipo,i Wish I had time to type na keyboard yangu mbovu x,s,w,2,Mpak Nitumie on screen keyboard inachosha kutype,To cut it Short,I was married na nikawa na mahusiano very strong na huyu dada,Nilifika stage hata dini nilitaka kubadili nimuoe,sikujali chochote,Nampenda hadi leo akisema kitu nitakua tayari kukifanya,Hujadissappoint mtu yeyote hata wanaokujua wakisema yao utashangaa<its like going to the hospital unaumwa lakini unafika unakuta mtu anaumwa zaidi unampisha na ni zamu yako kumuona Dr,Listen to your heart but don't leave your brain behind.
 
Asichokijua kuwa kucheza michezo ya ujana na mwanaume aliye katika ndoa ni kama kucheza na nguruwe katika matope... Mwenzio anaenjoy wakati yeye anachafuka.
Unajibu vizuri mpaka kuna vitu najifunza nitakuja kushauri hata watu wengine....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vichaa vya ndoa

[emoji23][emoji23][emoji23]huu uzi watu wameandika kwa hisia sana jamani
Watu jf ni watakatifu sana kwa hizi comment naona kabisa hakuna wachepukaji humu
 
Tatizo sijui kwanini muda wote huwa tuna'assume wote waliooana wanapendana sana na ndoa huku ndani ziko perfect.,

assume ni wenzi ambao walioana cz of situation tu ila leo hii ndo anapata yale mapenzi kwa mtu tofauti na mume/mkewe

ama assume ndani ya nyumba kunawaka moto mtu anatamani faraja nje akiipata hataki kuipoteza....

ofcz mwisho wa siku namshauri Dada Maya aolewe na bachelor mwenzie ila akipata nafasi........na yule mume wa mtu .,moyo ni mdanganyifu sana and its complicated sometimes

Mi naamini kuna ndoa chungu sana and watu hutafuta faraja elsewhere ila if thats the case kwanini msiachane tu? My point kwenye situation nzima kama mume wa mtu kweli kamdondokea Maya kufa kuoza basi amuache tu mke mkubwa atafute ustaarabu mwingine... kwangu mimi ni bora uachike go through it kwamba nmeachika kuliko hii blindside wanayotaka kuifanya-to me hii ni brutal jamani... on the other side according to mleta mada or rather uelewa wangu mume wa mtu anapendwa kuliko bachelor na nakataa hoja ya mleta mada kuolewa na kaka wa watu simply coz he is a bachelor kwan yeye ndo hastahili mahaba ya 110%? Dada amuache tu bachelor wa watu na yeye apate atakayempenda kiukweli and not be treated kama 2nd option...
 
Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi

Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.

Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi,mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.

Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.

Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.

Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.

The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.

Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba,na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine

Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali,well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.

To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.

Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.

Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea

PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Update
Japo nashambuliwa lakini nawashukuru mnaniongezea nguvu ya kufanya maamuzi although yanauma.Nyie nipeni ukweli tu ukweli ni dawa itakayo niponya
So far naona kuna dalili ya kumtumia huyu mume wa mtu since anataka mwenyewe why not,hii sio final ila kutokana na ushauri ninaona nipite namna hio
Ufike salama
 
Wow.......Bless you
Huwa wanakuwa na vikelele vya balehe zinawasumbua..... Waliopo kwenye mahusiano ya one woman man wametulia tu wanapanga the next anniversary atamsuprise vipi wife na zawadi nzuri na location gani.....
 
Mi naamini kuna ndoa chungu sana and watu hutafuta faraja elsewhere ila if thats the case kwanini msiachane tu? My point kwenye situation nzima kama mume wa mtu kweli kamdondokea Maya kufa kuoza basi amuache tu mke mkubwa atafute ustaarabu mwingine... kwangu mimi ni bora uachike go through it kwamba nmeachika kuliko hii blindside wanayotaka kuifanya-to me hii ni brutal jamani... on the other side according to mleta mada or rather uelewa wangu mume wa mtu anapendwa kuliko bachelor na nakataa hoja ya mleta mada kuolewa na kaka wa watu simply coz he is a bachelor kwan yeye ndo hastahili mahaba ya 110%? Dada amuache tu bachelor wa watu na yeye apate atakayempenda kiukweli and not be treated kama 2nd option...
Divorce sio kazi ndogo mummy..hasa mkishazaa watoto...ndo mana watu huwa wanaishia tu kuonja onja nje wkt akiwa na misuko suko ama mapenzi yakipoa ndani...its for life.,
Na mfano mshatafuta mali sana pamoja nk ina complications kwa kweli
Na naona ni mbaya hasa km hapa mke wa jamaa atakua victim kuletewa stress na Maya ukubwani

kuolewa na bachelor mwenzie mi naona ndo maamuzi sahihi zaidi kwake.,huwezi jua pia labda wakikaa wote ndani nafsi itaelekea kwa mumewe zaidi.,mazingira yanabadilisha tabia na mioyo ya watu..

heri kila mtu awe na ndoa yake.,afu wabaki kupunguziana stress tu mana mambo ni mengi,.kuliko kuvunja mahusiano yote na kuathiri yule mke wa jamaa na huyu innocent bachelor
 
Hivi kumbe kupenda Mume wa mtu ni umalaya..!! Sikulijua hili
Duuh...kumbe malaya wapo wengi tu humu. Yaani unaacha kutafuta single mwenzio unahangaika na mume wa mtu kama si umalaya ni nini??
 
Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi

Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.

Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi,mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.

Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.

Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.

Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.

The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.

Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba,na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine

Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali,well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.

To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.

Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.

Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea

PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Update
Japo nashambuliwa lakini nawashukuru mnaniongezea nguvu ya kufanya maamuzi although yanauma.Nyie nipeni ukweli tu ukweli ni dawa itakayo niponya
So far naona kuna dalili ya kumtumia huyu mume wa mtu since anataka mwenyewe why not,hii sio final ila kutokana na ushauri ninaona nipite namna hio
 
Mimi mwenyewe mkiristo ila ndio hivyo nafsi yangu ndio imefikia maamuzi ya kuoa mke wa pili. Nimemwambia tutafunga ndoa hata kwa kujificha, kama ndoa haitawezekana basi tuishi bila ndoa. Cheti cha ndoa ni makaratasi tu wala hayachangii chochote kwenye kupendana.
Nawe tulia ukishafilisiwa na huyo Dada ndipo utakuja gundua ni nyege ndio zilizokuwa zikikusumbua!
 
Divorce sio kazi ndogo mummy..hasa mkishazaa watoto...ndo mana watu huwa wanaishia tu kuonja onja nje wkt akiwa na misuko suko ama mapenzi yakipoa ndani...its for life.,
Na mfano mshatafuta mali sana pamoja nk ina complications kwa kweli
Na naona ni mbaya hasa km hapa mke wa jamaa atakua victim kuletewa stress na Maya ukubwani

kuolewa na bachelor mwenzie mi naona ndo maamuzi sahihi zaidi kwake.,huwezi jua pia labda wakikaa wote ndani nafsi itaelekea kwa mumewe zaidi.,mazingira yanabadilisha tabia na mioyo ya watu..

heri kila mtu awe na ndoa yake.,afu wabaki kupunguziana stress tu mana mambo ni mengi,.kuliko kuvunja mahusiano yote na kuathiri yule mke wa jamaa na huyu innocent bachelor

What if akijua mumewe ana a 2nd wife wa siri na wakwe na mawifi wanajua?
 
Utakomaa as umri wako unavyoendelea kusogea. Utapevuka zaidi. Utagundua huu upumbavu unaoung'ang'ania kwakusema unampenda sana mume wa mtu its just a matter of maturity.

Kuwa matured ni sambamba na kusema hapana kwa jambo lisilo sawa(lisilo sahihi) hatakama linakufanya ujisikie vizuri.

Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke.
Elewa kuna mwanamke mwenzio huko atatelekezwa na watoto. Elewa kuna watoto huko watakua kwenye risk yakua watoto wa mtaani kisa wewe umeshindwa kuzuia tamaa zako ukakubali kuiiba furaha ya familia nyingine.

Please I beg you, mshauri airudie familia yake.
Atakuzalisha, atakuzoea, vagina yako itatanuka, hautakua na ladha kama uliyonayo sasa. Ataanza kukuona kama anavyomuona mke wake sasahivi.

Nimejitahidi kuandika kwa lugha yakawaida, ila nimejisikia kukutukana matusi yote
Umeongea kwa hisia sana nina imani mdogo wetu amekuelewa!
 
What if akijua mumewe ana a 2nd wife wa siri na wakwe na mawifi wanajua?
Na ndo mana simshauri aolewe na mume wa mtu..kwanini iwe siri!?manake something is wrong

aolewe na kijana mwenzie ila kama anaona anampenda sana wawe wanapasha tu kiporo.,ndoa na mume wa mtu asahau
 
Sawa Asante naelewa unachosema ila ujue sio rahisi ingekuwa rahisi nisinge kuja hapa
Nitachukua ushauri wako worry not
Mdogo wangu sikiliza wakubwa wanavyokushauri mwanaume habebi mimba kwahiyo hana hasara! Laiti ningekua na umri kama wako ningefanya jambo sahihi
 
Kuwa na mume wa mtu ni kama kuwa dereva wa gari la serikali.. utavimba nalo ila siku moja utalirudisha tuu..
Hahaa dah
IMG_20200901_174322.jpg
 
Back
Top Bottom