Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,086
- 2,576
- Thread starter
- #741
alhamdulillah, namshukuru mungu, ndani ya siku 2,3 hizi nitakupa mualiko wa mpunyenye.
Hongera sana best...Ikawe kheri kwenu[emoji1374]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alhamdulillah, namshukuru mungu, ndani ya siku 2,3 hizi nitakupa mualiko wa mpunyenye.
Amin mamii, amin.Hongera sana best...Ikawe kheri kwenu[emoji1374]
BasiFuraha ya moyo ndio,nadhani ni mtu ambae nime connect naë kuliko mtu yoyote,mahusiano yetu ni urafiki zaidi ya mapenzi hili nililijua baada ya kuachana na mume wa mtu na kurudi kwake tu
Sexual satisfaction hapana
Kuna kitu kimoja ambacho ni cha kweli kabisa maishani,ukiona mume au mke anatoka nje ya ndoa ujue ni ubinafsi na namna ya kuukwepa ukweli so anatafuta faraja ya muda wakati akili haijamkaa vizuri. Unajua tunapokuwa hatujaingia kwenye ndoa huwa tunajenga kitu akilini kwamba ndoa ni kama kaparadiso flani hivi cha kunjoi na kufurahia maisha, sasa kimbembe kinakuja umeingia na miaka inasonga huifikii hiyo paradise uliyokuwa unaiota ndio inaanza akili ya kijinga kutafuta visingizio na pengine kuangalia kwa wenzako.ukiwa na akili mbovu utapotea coz inawezekana katika kutafuta sampul ndoa zenye furaha ukakutana na pea ambayo wanaishi kwa matumaini kwa kufichiana madhaifu yao wakiwa nje vicheko na mwembwe za kutosha wakirudi ndani wanalala mzungu wa nne au vyumba tofauti kabisa. so mwanaume yeyote aliye na sifa za kuwa baba huwa anapambana kulinda familia yake huku akiangalia namna bora ya kuweka sawa mambo yake mengine. ukikutana na mwanaume ambaye haoni thamani ya familia yake na anaonyesha dhahiri kuwa tupo tayari kuiacha kuanza maisha mengine then huyo sio mwanaume wa kuwa mume au baba, he's just a player.kumbuka wewe sio malaika kwamba huna mapungufu, kwamba hadi anakimbia kwa mwenzio kuja kwako ni kuwa anayakimbia mapungufu yake ambayo May be hakuyajua wakati wa uchumba/kudate bali amekuja kuyatambua baada ya kuishi nae. So kama anayakimbia mapungufu ya mwenzio leo kesho atayakimbia mapungufu yako ! Kusaliti ni kama kula nyama ya mtu, hutaacha.... Hata wewe kama hujawahi kumsaliti mpenzi wako siku ya kwanza Kusaliti huwa ni ngumu sana lakini ukishaanza ndio imetoka hiyo utavua chupi hadi ushangae mwenyewe. huyo ameshakuwa na moyo wa kuacha it's just a matter of time kuna siku atakubwaga na wewe ubaki kujutia kumtosa mchumba mwenye nia ya dhati ya kuoa.mwanaume wa kweli anapigania familia na sio kuitelekeza, anaijenga paradise anayoidream na sio kutangatanga.Amen kama ni pepo linitoke kwakweli
Duuh ulicheza kama gaucho asee[emoji848][emoji848][emoji122][emoji122]Alipojua baby...
Nilipoona jamaa haelewi nilitafuta namna mkewe ajue
Alikuwa mtata mwanzoni but nikamuelewesha kuwa mimi pia simtaki so yeye ndio mke asipanic wasolve mambo yao waendelee,ninachojua mwishoni mke alitulia na naamini wanaendelea vizuri Sina mawasiliano nao tena
Mwanamke mmoja hatoshi usiwe mbishi....Narudia tena; jisemee tu nafsi yako. Sio wanaume wote hawaridhiki na mtu mmoja period.
Toa maoni noma sana ndio ushauri gani!!?Noma sana!
Jiweke kwenye nafasi ya huyo mke wa jamaa hayo unayofanya yakukute ww ndo utajua ni Nini maumivu ya usaliti! Familia itelekezwe Kwa ajili yako kuwa na huruma mbwa ww! Kama mume wa mtu kaamua kumcheat mkewe unafikiri akikuoa ww ndo hatokucheat? Daah akili ni nyweleNaomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi.
Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.
Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi, mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.
Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.
Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.
Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.
The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.
Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine.
Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali, well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.
To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.
Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.
Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea
PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Update
Japo nashambuliwa lakini nawashukuru mnaniongezea nguvu ya kufanya maamuzi although yanauma.Nyie nipeni ukweli tu ukweli ni dawa itakayo niponya
So far naona kuna dalili ya kumtumia huyu mume wa mtu since anataka mwenyewe why not,hii sio final ila kutokana na ushauri ninaona nipite namna hio
TAKE THIS. Mwanaume aliyeoa hata Kama anachepuka kipaumbele chake Cha kwanza ni familia yake,Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi.