Hizi mahakama za kodi zilizoundwa kushughulikia rufaa za kodi zivunjwe. Zimeundwa ili kuipendelea TRA.
Matokeo yake ndio maana ziko chini ya waziri wa Fedha. Sio sahihi kabisa.
Kiundwe kitengo ndani ya mfumo wa Mahakama kitakachoshughulikia kodi. Kiitwe Mahaka ya Kodi.
Kama ilivyo Mahaka ya Ardhi, Biashara na Kazi. Kesi zake zianze na usuluhishi ndio kesi iendelee.
TRAT na TRAB hazifai