TRAT na TRAB zivunjwe

TRAT na TRAB zivunjwe

Congo

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2008
Posts
2,081
Reaction score
2,325
Hizi mahakama za kodi zilizoundwa kushughulikia rufaa za kodi zivunjwe. Zimeundwa ili kuipendelea TRA.

Matokeo yake ndio maana ziko chini ya waziri wa Fedha. Sio sahihi kabisa.
Kiundwe kitengo ndani ya mfumo wa Mahakama kitakachoshughulikia kodi. Kiitwe Mahaka ya Kodi.

Kama ilivyo Mahaka ya Ardhi, Biashara na Kazi. Kesi zake zianze na usuluhishi ndio kesi iendelee.

TRAT na TRAB hazifai
 
Mimi nadhani kwanza ungewapa mwanga wanajukwaa kuhusu TRAK na TRAT uanishe kwa kifupi dhumuni na majukumu yao ili Wana jukwaa wajue na namna ya KUCHANGIA....
 
Back
Top Bottom