Travel and Living expenses in UK

Travel and Living expenses in UK

5m ni kama £1800. Return ticket kama £700. Umebakiwa na £1100. Kama unapanga kufikia London rent for a room per week £75 two weeks £150 umebakiwa na £950.

Chakula cheap £10 per day two weeks approx £150 unabakiwa na £800. Nauli ya train London-Manchester £100 ukipanda bus haizidi £20 ila utatumia masaa tisa badala ya matatu.

In short 5m for two weeks inakutosha.
 
[emoji120] alright.. Thank u kiongozi

Umesema return ticket ni £700 hujanitajia ni airline ipi mkuu
 
Chukua gazeti la mwananchi la Jana au Hata Leo au la juzi yote yanabei za ndege emirates kwenda London
 
Nshomile huyu anaenda kupunguza machungu yakutukanwa na magu[emoji28][emoji28]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] its a business trip mkuu mida ya kujiajiri.. Nahitaji kuonana na experts uso kwa macho nipate kujifunza

Nikirudi ni mashambulizi tu [emoji41]
 
Back
Top Bottom