Travel packages za kwenda Urusi kushuhudia kombe la dunia mahususi kwa Watanzania kuanzia $4000

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
9538657a2dd7662233310286003ef6af.jpg

Packages include official match tickets, hotel accommodation and round trip tickets.
More details to follow soon...............
MWISHO wa kujisajili ni tarehe 31 January 2018!
 
4000 haipotei bure wazee bila kumuona king Messi. Na ni Wengi wanatamani kwenda kumuona,na jeshi lake wakina aguero, lcardi na Dybala. Hawa maprofessional bila kuwepo huko urussi world cup haina msisimko
 
Nikajua unenda kumwona mchezaji bora wa dunia kumbe unenda kumwona huyo bora hela yako ukamwangalie chirwa mapinduzi cup
 
Ni nani huyo bora. Nataka nimjue mkuu. Au ndiye yule anaewategemea mabeki kufunga! Wakina Ramos
 
Yule anaebeba ndoo kwa kila team anayoichezea kabeba na Lisbon sjui na man u na benabeu ndio hatusemi. Sio huyo anaejua tu kua team maishani mwake ni Barcelona tu. Jembe hata liende green warriors litabeba kombe LA africa
 
bado sijaona mtanzania wa kwenda huko ateketeze milioni 8.9 kisa football
vyuma vyenyewe vimekosa lubricant
 
Yule anaebeba ndoo kwa kila team anayoichezea kabeba na Lisbon sjui na man u na benabeu ndio hatusemi. Sio huyo anaejua tu kua team maishani mwake ni Barcelona tu. Jembe hata liende green warriors litabeba kombe LA africa

Timu gani kwake yenye hadhi kubwa na bora kama sio Barcelona!!!! Unataka atoke Barca aende timu yenye hadhi na yeye??? Haya maneno ya kwenye kahawa mkuu.
 
Uwezo hana ndio mana Argentina yenyewe ameshindwa kupata mafanikio. Anajificha kwenye kivuli cha baca aende man u PSG Munich uone kama hatoishia kubeba jezi
 
Hili tangazo hujaliweka vizuri hujasema mambo mengine mazuri kule Urusi kama urabu wa hatari....Madada warembo wa hatari na hayo ya mpira yawe mengineyo inaonekana hujui haya mambo unabahatisha
 
Back
Top Bottom