Safari yangu ambayo sitaisahau nilitembelea mbuga ya wanyama ya Tarangire,asee ile kitu ni safi sana,huduma za tour guides ni nzuri sana,pia katika mzunguko wote nikamalizia na lodge yao inatwa Sopa (Sopa lodge),ile kitu ni hatari sana,iko katikakati ya mbuga,lakini huduma zote zipo.Sikuweza kuamini kuwepo kitu kizuri kama kile.Ni kweli unaposafiri ubongo unaachia kiasi flani hasa ukizingatia ulimwengu tunaoishi una changamoto nyingi sana na haziishi,sasa usipotoka na kukaa mbali na hayo maeneo,kwakweli unaweza kuona maisha yamesimama...
tuliondoka tanga usiku saa tisa mpaka saa kumi na mbili tukaanza kufika nungwi saa moja moja had saa mbili tukafika mkokoton halaf hatukufungiwa mashine jahazi lilikwenda na upepo lilifungwa tanga kama mashine ingefunga bas saa kumi na mbili tu tushatia nanga, speaking of experience yan nilipata si haba lakini huo usafiri unafaa wavuvi na wale walokwisha zoea kupiga makasia inatisha usijaribu labda ukaze roho
haha ndio tulipita na jahazi ilikua ni kama nambeep Allah bahat siku zetu zilikua mbali tulifika salamaMkuu hapo Nungwi ulipita na jahazi kweli una roho ngumu watu wanapita na meli tu hapatoshi bu the way hongera sana.......