chadesturi
Member
- Nov 13, 2012
- 9
- 5
thanks both of you.No mimi sio mtalii, im an original kenyan in need to see another part not just my village.sina mahali maalum as said, its an adventure.
Upande wa gari, ni public means and upande wa piki piki is for short distances lets say 20-30 km, kenya wakati mwingine pikipike yaenda haraka kushinda gari maanake daladala(matatu kenya) wakati mwingine huchukua mda kijaza abiria.
Safari yangu napanga kuanzia Dar nisafiri siku kama 8 hivi kuona TZ
thanks guys
I beg to differ, barabara za bongo sio nzuri kuliko za Kenya. maybe zamani ilikuwa hivyo lakini kwa sasa the kenyan infrastructure is way superior than ours. naongelea from experience, being a child of both worlds (baba mchagga na mama mkikuyu) and having travelled broadly in both countries. nakumbuka the last time I was in Kenya nilikuwa nimeenda kumtembelea bibi upande wa mama na I was pleasantly surprised to find that the road all the way to her gates is tarmacked. hesabu kuwa ni the in-skirts of Kenya, kunaitwa Kinagop and to my grandma's place ni uingie ndani zaidi. and have you heard about the Nairobi super highway? it's huge!! you have to see it for yourself to believe. me and my sis got lost heading to Thika a couple of times (a place we'd commuted to for many years when we lived there), it's a vast maze of roads na bado haijaisha (at least mpaka nilivyo ondoka ilikuwa bado)Utashangaa Tanzania barabara ni nzuri sana kuliko Kenya.
karibu sana Tz chadesturi, it's a wonderful place and am sure you'll enjoy your stay here. a few pointers if I may
- there are alot of pikipikis in Tanzania, when boarding one, be sure to pick up one where there are many others parked as your kiswahili will always mark you as an outsider.
- while muggings and pickpockets are not as many as in Kenya, I'd advise you not to carry your camera (if you have one) in an exuberant manner when in arusha (blame the white tourists)
- have your money changed early, preferably in a forex bureau, and be sure to carry small Tanzanian notes with you at all times (our currency has some high notes like the 10,000 shs bill). this will help attract less attention to you -make some few friends on here of the cities you are planning to visit. its always a good idea to have a few locals in your reach if you do need anything
-carry two inexpensive phones. one for your local service provider back at home (airtel kenya and safaricom are the only networks I know that will give you any decent service down here) and one for a service provider from down here. despite what they say in their ads, roaming charges are expensive, and you best carry recharge vouchers from Kenya or arrange for somebody to recharge you from back home
that's all I can think of top off my head. good luck, leh
isambe, sitajitahidi kujibu kwa lugha ya kiswahili it will take me forever to put my swahili together for this but i will reply in english
First of all, stop being judgemental,being a somalian origin(if i was one, does not make me different from you or the next person)im not of somali origin, im a KENYAN FROM KISUMU but most of all im human first and origin geographicaly is not always an issue to me if you know what ukabila causes.
Im going for an adventure, i dont only plan to be in big cities to look at magorofa, and window shop,if so i could have stayed home,and i believe, to learn and know how a certain people live(forget about upangaji mjini) i have to at times use the beaten paths and visit REAL PEOPLE.And in kenya, the pikipiki are at times more reliable(time wise)than matatu or buses so thats the reason i asked.
Im not taking it personaly but i feel offended with your comments but still thanks for thinking the way you do, its a free forum, free world
Ukifika Dar lazima utembelee Sinza na Kinondoni(hasa wakati wa usiku),kama hujafanya hivyo utakuwa hujaijua Dar a.k. a Bongo jiji la ''Tupo Wangapi''HI everyone
kwanzaa poleni kiswahili yangu mbovu but i will try.
nataka kusafiri toka nairobi toTZ, longest i can stay is max 10 days.sina maahali maalum ninapotaka kwenda, a day here a night there,kind of adventure
sasa swali langu, je tz kuna (motorbikes like in kenya)tuseme kwa mfano sh 1000 will take me from point A to point B kwa hiyo motorbike? kilometa 300 gari(bus)inatumia mda gani?nikiwa siko mjini je kuna namna/njia gani ya usafiri.
Asanteni kwa majibu and sorry for my terrible swahili
My friend you are most welcome to Tz,You will see how life expenses is very very cheap compared to Kenya/Nairobi,mimi nimekuwa natembelea jiji la Nairobi,Maisha ya huko yako juu na ghali! Hotel ya tshs 40,000/= Nairobi ni mbaya unaweza usikute luninga ndani ati! Inalingana na Hotel ya tshs 9,000/= Bongo. Chakula sasa ndo usiseme huku bongo ukienda kwa mama Nitilie una tshs 1000/= utakula ati. Thubutu Nairobi kule karibu na stand ya mabasi ya kwenda Sirari,Tarime N.k Wali kitumbo pekee bila siturungi(chai ya rangi) ni Tshs 3000/= mama Nitilie wa kule hawacheki huna tembea,sio siri bongo ni raha tupu ukishindwa kuishi bongo ugenini utachemka.Kenya uchumi uko juu pesa iko kwa serikali mwananchi moja moja mambo ni tight,tofauti na bongo Pesa ziko kwa raia wakenya wana sema wabongo tunapenda starehe ati! Mwisho ni kwenye mitandao ya Simu,aisee bongo kuna raha amini nakwambia,ukiweka Tshs 5,000/= mbona unasahau,lakini mitandao ya kenya kuna Orange,Airtel na Safari com,babaake nina SiM card ya safari com nikiweka airtime nikiwa Narobi na kuwapigia rafiki zangu wa Nairobi University vihela vinakatikaje! Asikudanganye mtu maisha nafuu yapo Bongo,ukijisikia unaanzisha hata biashara ndogo any time,Huko kenya sheria kali kuna bidhaa mfano school uniform utakuta zinauzwa duka la mhindi tu,sio bongo Masela anaamka asubuhi analangua nguo k/koo anajiuzia kitaa. sina uhakika na hili lakini nadhani serikali iko makini inakusanya kodi mpaka machinga na wauza mahindi ya kuchoma.Kenya unaweza kumwuliza mtu njia akakuangaliaaa asikujibu,lakini Bongo anakushika mkono anaacha kazi yake kukuelekeza huku mabega yakigongana eti una unaona pale kwenye nguzo kata kushoto tayari umefika.KWETU PAZURI!