Ezsdon Member Joined Nov 1, 2010 Posts 85 Reaction score 146 Jul 13, 2014 #1 Habari zenu wanajamvi. Naomba mwongozo juu ya wapi nawezapata tray ndogo za mayai (mini trays) za kubeba mayai sita(6) na kumi na mbili(12).
Habari zenu wanajamvi. Naomba mwongozo juu ya wapi nawezapata tray ndogo za mayai (mini trays) za kubeba mayai sita(6) na kumi na mbili(12).