Kwani si kuna treni tayariNawashauri TRC wakamate fursa ya kusafirisha abiria kati ya dodoma na dsm. Toka serikali imehamia dodoma kumekuwa na upungufu mkubwa wa magari ya abiria hasa week end. Nashauri waanzishe safari rasmi mfano kuwe na tren kila ijumaa jioni na isimame morogoro pekee vilevile kila jumatatu alfajiri itoke dsm kwenda dodoma
Ni kweli.Kuanzia.Siku ya ijumaa,Usafiri wa Dodoma Dar ni wa tabu Sana.Mabasi luxury,watu wanaweka booking kuanzia jumanne,kwamba anaondoka ijumaaNdiyo nasoma na kujua hilo la upungufu wa mabasi leo mmmh, dodoma...!!