TRC: Kichwa cha Treni ya SGR kimefika Bandarini, Majaribio ya safari ya Dar - Moro yataanza hivi karibuni

Kwanini wasitulie mpaka siku tutaona treni limeanza safari?

Washatoa updates mara nyingi sana ambazo hazina maana zimejaa uongo mtupu sehemu za utendaji zimegeuka kuwa propaganda.

Kadogosa nakushauri utulie kama ni watu wanahujumu mradi wa SGR tutajua soon
 
Kwanini wasitulie mpaka siku tutaona treni limeanza safari?

Washatoa updates mara nyingi sana ambazo hazina maana zimejaa uongo mtupu sehemu za utendaji zimegeuka kuwa propaganda.

Kadogosa nakushauri utulie kama ni watu wanahujumu mradi wa SGR tutajua soon
 
Updates ni muhimu wakikaa kimya tutajua tushapigwa kumbe watu wako kazini,
 
Updates ni muhimu wakikaa kimya tutajua tushapigwa kumbe watu wako kazini,

Unakumbuka mara ngapi wametoa update za kufanya majaribio na hakuna kilichotekelezwa?

Unakumbuka mkandarasi anayejenga hiyo SGR anakabiliwa na ukata?

Tuache porojo waafrika ndo maana hatufiki kokote nchi zetu zinabaki kunufaisha wanasiasa ila maisha ya wananchi wa kawaida ni magumu sana hata huduma za kijamii ni duni sana, huko mashuleni watu wanakaa chini, hakuna sakafu, hakuna madawati, hakuna walimu wa kutosheleza mahitaji, hospitali dawa ni kipengele usiongelee wataalamu hasa vijijini ndo kabisaaa.

Hizi porojo hazisaidii nchi zaidi ya vyama vya siasa na familia zao
 
Kipande Cha Dar- Mwanza kiitwe Magufuli SGR itapendeza, hapo CCM itapata kura za kutosha 2025 kanda ya ziwa.
 
QmmmmmmQe
Mwaka wa 3 sasa Kila siku wanasema majaribio yatafanyika hivi karibuni.
Sometimes mpaka mwezi wanataja
 
Utakuwa unaishi ubelgiji, kwa awamu hii ya sita shule zimeboreshwa sana na mpya zimejengwa hela za uvico-19 zimesimamiwa vizuri,

Kuhusu madawa tembelea maduka ya dawa uone wanavyolalamika biashara kuwa ngumu huduma za afya zimeimarika, tulizoea kuona magari ya polisi mapya sasa hivi ukiona gari jipya halmashauri ujue ni ambulance

Kuhusu reli, kuna majukumu ya kimkataba lazima yatekelezwe, na reli sio bembea kuwa unachomelea tu, lazima tujiridhishe ubora wake, hata unapojenga nyumba lazima ujirishishe kuwa msingi ni imara ndo uendelee na kujenga boma

kilikuja kichwa cha majaribio kimefanyakazi na sasa tunaleta kichwa halisi nacho kitaanza test works kwanza, nikusihi uwe na subira, mama samia hakurupuki, anatizama kila kazi kwa umakini
 

Ushakuwa chawa hakuna tena cha kuzungumza ukweli kwako.

pitia hapa


Huo ni mfano mmoja, iko mifano mingi
 
QmmmmmmQe
Mwaka wa 3 sasa Kila siku wanasema majaribio yatafanyika hivi karibuni.
Sometimes mpaka mwezi wanataja
Majaribio yako mengi na yanafanyika kila siku, ukumbuke hii treni speed yake ni maratatu ya katarama, umakini uwepo, kama fundi nguo kila kipande anachokata anakipima kama kiko sawa, hivyo hivyo reli nayo kila beleshi linapimwa kama linakidhi viwango,

ni kama mja mzito kwenda clinic mara kwa mara kujua maendeleo ya afya yake na ukuaji wa mtoto tumboni, ukisema akhaa nimechoka kufunuliwa dela na manesi utazaa njiti
 
Siasa
 
Hata 2021 yalikuwa maneno yanayofanana na haya
Toka 2021 walisema february yanaanz majaribio mara wakasema tena october mara wakahamia february 2022 wakaja june 2022 dar moro itaanz kaz wameend wakaja 2023 february sjui march ikapigwa tena dana dana sa iv wanasema kipo tayar sasa kama bado hawajajiandaa si wakae kimya.
 
Hii inaweza kufika October 2025
 
Sasa dawa ni kuitikia tu, sawa.

Maana sasa mnatutreat kama vile tunavyofanya kwa vibinti vya mwaka 2000.
 
Hicho kichwa ni siri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…