TRC: Kichwa cha Treni ya SGR kimefika Bandarini, Majaribio ya safari ya Dar - Moro yataanza hivi karibuni

Mkuu hicho kichwa cha majaribio kimefanya majaribio wap?
 
Mkuu jizi sio ist kwamba utaakiza mtandaoni, tunanunua vipya na tunajiridhisha kabla havijafika, hii ni kati ya miradi inayotekelezwa kwa umakini mkubwa
Hizo ni porojo za siku zote
 
Nilitaka nimjibu hivyo, kimsing modern trains zinachukua muda, technology mpaka ije kutumika
Kunahitajila heavy industry, kama hata bajaji hatuweza unarukia train hahaha
Acha porojo mkuu, hayo yote hawakuyajua tangu 2016/2017, hizo ni poor planning na siasa nyingi, waambie waache porojo
 
Wewe unaota kabisa mchana kweupe, yawezekana wewe ndiye uko Ubelgiji
 
Mwambieni mama naye awahi kuokota vichwa bandarini.
Au yeye hapendi maigizo? 😀😀😀
 
Umeme utakaotumika ni wa sola ama,kwa maana nchi sasaivi ipo kwenye mgao wa umeme hadi kiongozi wa nchi anajua
 
inapendeza kwa kweli...uzuri ccm huleta maendeleo kwa watanzania wote bila kujali huyu ni chadema au laa
 
Acha porojo mkuu, hayo yote hawakuyajua tangu 2016/2017, hizo ni poor planning na siasa nyingi, waambie waache porojo

Mm ndio napiga porojo au wao? All this poor planning na siasa nyingi zimetokana kuweka siasa kwenye kila kitu
 
inapendeza kwa kweli...uzuri ccm huleta maendeleo kwa watanzania wote bila kujali huyu ni chadema au laa
Nimefanya kazi YAPI MERKEZI kuna sehemu wamelipua kazi kwanzia KIGWE mpaka MAKUTUPORA ni uchafu mtupu CCM mnajifanya hamuoni...hio TRAIN lazima itaua ua sana mwanzoni..!
 
Nilitaka nimjibu hivyo, kimsing modern trains zinachukua muda, technology mpaka ije kutumika
Kunahitajila heavy industry, kama hata bajaji hatuweza unarukia train hahaha
Lakini majaribio Dar - Moro yalifanyika mwezi wa nne mwaka 2020! Nini kilitokea tena.
 
Ila watu husema wasiyoyajua. Juzi niliona uzi twitter ukitoa sababu za tren kuhujumiwa. I laughed hard. Ni kwasababu hakujua kama kichwa cha treni ndo sababu ya kuchelewa na kilikuwepo bandarini tayari ila kuclear ndo ilikua bado. Sameways na watu walipokua wakinanga escape from sobibo. Tatizo hatuwezi kutoa taarifa zingine maana sisi siyo source rasmi ya kutoa taarifa. Mengine huwa tupapeana sana matango pori. Na bado vipo vingi vyaja vipo kwenye matengenezo mpaka sasa. Msigwa alipotuma vile vichwa vya kisasa kila mtu akaweka silaha chini. Its a process.
 
Ukitaka kujua wanawaona waTanzania kama mazezeta fuatilia kuanzia huku... Hawakuwai kusema kokote kuwa vile vichwa ni vya diesel vinavoweza kutumia umeme pia!
 
Haya vimekuja sasa... Ndivyo ulivyovitarajia? Je, vinatumia diesel ama havitumii? Je, maximum speed ni ngapi? Kwenye majaribio walifikia ngapi?

Msione watu ni mapunguani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…