TRC mnazidi kufeli kila uchwao.

Huu mradi hauwezi kufa eti tu kuna changamoto ndogo dogo ambacho zipo kila sehemu.
 
Tanzania nchi yangu🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️. Hivi mna hakika hii nchi ina think tank kweli!!!!
 
Treni ya umeme inabadirika kuwa gari moshi mana lazima moshi utatoka tu kwenye exhaust ya engine ya diesel. Kwahyo lile jina la tren ya umeme hamna tena SGR na MGR sasa ngoma isambile
 
Mbuzi mwekundu, Kadogosa ni ndugu yako. Nchi isiyo Na Sheria Kali hakika ni shamba la Bibi.

Great failure kama Kadogosa ni wa kumpiga risasi hadharani
Niabu kubwa hata kwa inchi jirani zetu bbc wamekolia hii habari kwenye mitandao nikawaza hawa wakenya wakiona kazi tumekwisha maana tuliwacheka sana.
 
Treni ya umeme inabadirika kuwa gari moshi mana lazima moshi utatoka tu kwenye exhaust ya engine ya diesel. Kwahyo lile jina la tren ya umeme hamna tena SGR na MGR sasa ngoma isambile
Wakiweza wapitishe na Mabasi humo..kinawashinda nini😀😀😀
 
Jiulize sasa nguzo hizo na gharama za kuweka mifumo ya umeme ilikuwa za kazi gani?Si zingejengwa tu lami za kutosha Nchi nzima tena 4ways kwa Mikoa mikubwa hii..

Akili zetu zina shida pahalaa sio bure..sisi tunashida pahala.
Mkuu Adre inaumiza sana. Trillion karibu ishirini imeteketea. Hiyo hela ingejenga lami za kutosha. SGR huu mradi hovyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…