TRC mnazidi kufeli kila uchwao.

Umeme wa kutosha upo. Unafikiri umeme unakatika kwa sababu hautoshi? Inawezekana hujui kuwa umeme kukatika sio lazima kuwe na upungufu.
nimefuta,: mkiambiwa MAGU was genious msibishe, Njia imepotea.
 
SIASA KUINGIZWA KWENYE MASUALA YA UCHUMI, NDIYO SHIDA ILIPO!,
---------------
---------------

NAKUBALI HIZO PULLER ZA DIESEL ZITUMIKE KWENYE TRENI ZA MIZIGO PEKEE,
------------
PULLER ZA UMEME ZITUMIKE KWA ABIRIA!
 
SIASA KUINGIZWA KWENYE MASUALA YA UCHUMI, NDIYO SHIDA ILIPO!,
---------------
---------------

NAKUBALI HIZO PULLER ZA DIESEL ZITUMIKE KWENYE TRENI ZA MIZIGO PEKEE,
------------
PULLER ZA UMEME ZITUMIKE KWA ABIRIA!
wenzio shida ni abiria:kubwa hatuko serious,yule jaluo PLO alisema wenye aidia wako nyumbani.
 
β€œHii ni ndege ya ardhini napenda kuita hivyo, kwa sababu utaratibu wake wa kufika stesheni ni saa mbili kabla ya kupanda treni, hivyo unashabihiana na wa ndege
πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜ƒ MAMA ANAUPIGA MWINGI
 
Sikuhizi kuna watoa taarifa wengi kuliko wahindishi WA habari.

.... enewei ngoja niendelee kunywa huu mtori na nyama nitazikuta chini...
 
View attachment 3175833
We jamaa ni mnafiki sana. Angalia hii comment yako ya February wakati Kadogosa anazungumzia ujio wa vichwa vya dizeli. Angalia na hii ya leo.. full unafki
Wewe mpumbavu. Hapo nilimaanisha Kadogosa anatudanganya. Hakuna diesel hybrid. It's either wanunue electric au diesel. Sio alichosema kuwa watanunua inayotumia umeme na diesel kwa wakati mmoja. Na he proved me right kuwa watanunua za diesel. Next time sumbua kichwa kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…