TRC - SGR waongeze Treni za kwenda Dodoma kwa siku

TRC - SGR waongeze Treni za kwenda Dodoma kwa siku

Kabla ya kuongeza safari una monitor trend kwanza. Sasa hivi ni ngumu kwasababu watu wengi wanapanda tu ile kutoa gundu, kwahio huwezi kutumia hesabu hii kupanga idadi yavtreni kwa siku. Utafika muda watajua idadi ya abiria halisi kwa siku
NDIO TUNAFANYA HIVYO MKUU! LAKINI WANANCHI WANAKOSA SUBIRA. TUNASUBIRI WAJICHUJE ILI TUJUE MAKADIRIO HALISI YA WATU WETU. ASANTE SANA MKUU KWA UFAFANUZI
 
NDIO TUNAFANYA HIVYO MKUU! LAKINI WANANCHI WANAKOSA SUBIRA. TUNASUBIRI WAJICHUJE ILI TUJUE MAKADIRIO HALISI YA WATU WETU. ASANTE SANA MKUU KWA UFAFANUZI
Tunaomba uongozi wa TRC wapunguze Parking fee ya kuacha gari 24hrs. Iwe 10,000/- mtaingiza hela nyingi sana. Sasa hivi ni 20,000/- ambayo ni nyingi sana matokeo yake hampati watu wa kuacha magari 24hrs au more. Ikiwa 10,000 wengi tutaacha magari hata siku mbili
 
Hiyo ni serikali mkuu.

Haifuati principles za biashara hata kama ni common sense...
 
Back
Top Bottom