Please wekeni hivi
Jina la kituo:,...............................
Jina la mhusika:..................,......
Aina ya kitambulisho:............ ..
Kwa kufanya hivyo mtawarahisishia wengi ambao baadhi watapata taarifa kupitia kwa ndugu jamaa na marafiki
Na kwa kujali wateja wenu andaeni utaratibu utakaowawezesha walio mbali kuchukuliwa na jamaa zao
Kwa mfano imagine mtu ni wa Mwanza au BK aliitwa interview Far au Moro au Dom.. Alipomaliza akaondoka kwa kutumia SGR na kusahau kitambulidho chake
Kuna walioenda misibani
Kuna waliondikiza marafiki kwenye matukio mbalimbali
Hawa wote uwaambie mtu atoke Mtwara kwenda Dodoma kufuata kitambulisho ni kutomtendea haki
Naamini SGR huduma kwa wateja watalifanyia kazi hili