Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Baada ya kadogosa masanja kuondoka si aliteuliwa masanja mwingine mkuu?Machibya.

Fedha ipo ama haipo.. kMKandarasi alizingua
sawaHabari njema sana hii
Najua zinakopita na nimewahi viwanja huko,nilipenyezewa na mshkaji wangu yuko ofisi nyetiHizo reli zitapita juu, chini ya ardhi, au pembezoni mwa mji? Kwa maana zisije zikapita katikati ya mji na hivyo kugeuka kuwa chanzo kingine cha foleni kwa waendesha vyombo vya moto hususani magari.
View attachment 3672679
TRC YAANZA HATUA ZA UJENZI WA RELI ZA MIJINI (MONORAIL) DSM, YASEMA SEKTA BINAFSI KUTEKELEZA MRADI HUO
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limefanya kikao cha kwanza na mshauri mwelezi kampuni ya SYSTRA kutoka Ufaransa, inayotarajiwa kufanya upembuzi yakinifu (Feasibility Study) ya mradi wa reli za mjini (Monorail) Jijini Dar Es Salaam, ambapo limesema, sekta binfasi ndiyo itakayotekeleza mradi huo.
Kikao hicho kilichofanyika Septemba 17, 2026 Jijini Dar Es Salaam, ni kiashiria cha kuanza matayarisho ya mradi huo unaolenga kuboresha usafiri wa umma na kupunguza msongamano wa magari katika jiji hilo la biashara.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya wasilisho la kampuni ya SYSTRA kuhusu hatua hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Mhandisi Machibya Shiwa, amesema, sekta binafsi imepewa takribani 70% katika utekelezaji wa dira 2025, hivyo hii ni fursa kwa sekta hiyo kutekeleza mradi huo.
“Natoa wito kwa sekta binafsi kujitokeza kuchangamkia fursa hiyo kufutia nafasi kubwa waliyonayo ya kuongeza uwekezaji nchini, kufuatia Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya kisheria,, kisera na kitaasisi ili kuvutia uwekezaji wa ndani nan je ya nchi’’, ameongezea Mha. Shiwa.
Mradi huo wa ujenzi wa reli moja, unalenga kukabiliana na ongezeko la mahitaji ya usafiri linalotokana na ukuaji wa Jiji la Dar es Salaam, ambapo kufikia 2030 inatarajiwa kuwa na Idadi ya watu wapatao milioni kumi (10).
“Kuanza kwa mchakato huu ni hatua muhimu katika maandalizi ya kujenga mfumo wa kisasa wa usafiri wa Mijini. Upembuzi yakinifu utatupatia msingi wa kitaalamu wa kubaini namna bora ya kutekeleza mradi kwa kuzingatia mahitaji ya wananchi na ukuaji wa jiji la Dar es Salaam.” Maefafanua zaidi Mha. Machibya Shiwa.
Reli hiyo inatarajiwa kupunguza muda na gharama za safari pamoja na msongamano wa magari na kuwawezesha wananchi kufika kwa urahisi kwenye maeneo ya kazi, biashara na huduma.
Kwa mujibu wa Mhandisi Shiwa, kiuchumi, mradi huo utaongeza ufanisi wa biashara, kufungua fursa za ajira na uwekezaji na kuongeza thamani ya maeneo yanayohudumiwa na reli na kupunguza hasara zinazotokana na muda unaopotea katika foleni.
Mradi wa kipumbavu kabisa huo ....wangekuwa na akili basi ..badala ya huo mradi wangefanya BRT PHASE 3 NA 4 NA KUENDELEA ZIWE NI TRAM TENA ZA UMEME ...tija ya kujenga tram za umeme ilikuwa ni nyingi na kubwa ...sasa hivi inatakiwa tufocus kwenye usafirishaji wa umeme badala ya mafuta ....BRT NI PROJECT YA KIPUMBAVU...View attachment 3672679
TRC YAANZA HATUA ZA UJENZI WA RELI ZA MIJINI (MONORAIL) DSM, YASEMA SEKTA BINAFSI KUTEKELEZA MRADI HUO
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limefanya kikao cha kwanza na mshauri mwelezi kampuni ya SYSTRA kutoka Ufaransa, inayotarajiwa kufanya upembuzi yakinifu (Feasibility Study) ya mradi wa reli za mjini (Monorail) Jijini Dar Es Salaam, ambapo limesema, sekta binfasi ndiyo itakayotekeleza mradi huo.
Kikao hicho kilichofanyika Septemba 17, 2026 Jijini Dar Es Salaam, ni kiashiria cha kuanza matayarisho ya mradi huo unaolenga kuboresha usafiri wa umma na kupunguza msongamano wa magari katika jiji hilo la biashara.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya wasilisho la kampuni ya SYSTRA kuhusu hatua hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Mhandisi Machibya Shiwa, amesema, sekta binafsi imepewa takribani 70% katika utekelezaji wa dira 2025, hivyo hii ni fursa kwa sekta hiyo kutekeleza mradi huo.
“Natoa wito kwa sekta binafsi kujitokeza kuchangamkia fursa hiyo kufutia nafasi kubwa waliyonayo ya kuongeza uwekezaji nchini, kufuatia Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya kisheria,, kisera na kitaasisi ili kuvutia uwekezaji wa ndani nan je ya nchi’’, ameongezea Mha. Shiwa.
Mradi huo wa ujenzi wa reli moja, unalenga kukabiliana na ongezeko la mahitaji ya usafiri linalotokana na ukuaji wa Jiji la Dar es Salaam, ambapo kufikia 2030 inatarajiwa kuwa na Idadi ya watu wapatao milioni kumi (10).
“Kuanza kwa mchakato huu ni hatua muhimu katika maandalizi ya kujenga mfumo wa kisasa wa usafiri wa Mijini. Upembuzi yakinifu utatupatia msingi wa kitaalamu wa kubaini namna bora ya kutekeleza mradi kwa kuzingatia mahitaji ya wananchi na ukuaji wa jiji la Dar es Salaam.” Maefafanua zaidi Mha. Machibya Shiwa.
Reli hiyo inatarajiwa kupunguza muda na gharama za safari pamoja na msongamano wa magari na kuwawezesha wananchi kufika kwa urahisi kwenye maeneo ya kazi, biashara na huduma.
Kwa mujibu wa Mhandisi Shiwa, kiuchumi, mradi huo utaongeza ufanisi wa biashara, kufungua fursa za ajira na uwekezaji na kuongeza thamani ya maeneo yanayohudumiwa na reli na kupunguza hasara zinazotokana na muda unaopotea katika foleni.
Mambumbumbu ndio mlivyo.MKandarasi alizingua
Wakati Masanja Kadogosa akiwa Mkurugenzi mkuu Machibya alikuwa Technical Manager.Baada ya kadogosa masanja kuondoka si aliteuliwa masanja mwingine mkuu?
DaaaahNajua zinakopita na nimewahi viwanja huko,nilipenyezewa na mshkaji wangu yuko ofisi nyeti
Sio kweliPorojo za kuwaondoa wananchi kujadili maswali muhimu.
Duuuh machizi ni wengiMradi wa kipumbavu kabisa huo ....wangekuwa na akili basi ..badala ya huo mradi wangefanya BRT PHASE 3 NA 4 NA KUENDELEA ZIWE NI TRAM TENA ZA UMEME ...tija ya kujenga tram za umeme ilikuwa ni nyingi na kubwa ...sasa hivi inatakiwa tufocus kwenye usafirishaji wa umeme badala ya mafuta ....BRT NI PROJECT YA KIPUMBAVU...
Tamthilia ya ISINDIGO ni ndefu sana
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limefanya kikao cha kwanza na mshauri mwelezi kampuni ya SYSTRA kutoka Ufaransa, inayotarajiwa kufanya upembuzi yakinifu (Feasibility Study) ya mradi wa reli za mjini (Monorail) Jijini Dar Es Salaam, ambapo limesema, sekta binfasi ndiyo itakayotekeleza mradi huo.
Kikao hicho kilichofanyika Septemba 17, 2026 Jijini Dar Es Salaam, ni kiashiria cha kuanza matayarisho ya mradi huo unaolenga kuboresha usafiri wa umma na kupunguza msongamano wa magari katika jiji hilo la biashara.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya wasilisho la kampuni ya SYSTRA kuhusu hatua hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Mhandisi Machibya Shiwa, amesema, sekta binafsi imepewa takribani 70% katika utekelezaji wa dira 2025, hivyo hii ni fursa kwa sekta hiyo kutekeleza mradi huo.
“Natoa wito kwa sekta binafsi kujitokeza kuchangamkia fursa hiyo kufutia nafasi kubwa waliyonayo ya kuongeza uwekezaji nchini, kufuatia Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya kisheria,, kisera na kitaasisi ili kuvutia uwekezaji wa ndani nan je ya nchi’’, ameongezea Mha. Shiwa.
Mradi huo wa ujenzi wa reli moja, unalenga kukabiliana na ongezeko la mahitaji ya usafiri linalotokana na ukuaji wa Jiji la Dar es Salaam, ambapo kufikia 2030 inatarajiwa kuwa na Idadi ya watu wapatao milioni kumi (10).
“Kuanza kwa mchakato huu ni hatua muhimu katika maandalizi ya kujenga mfumo wa kisasa wa usafiri wa Mijini. Upembuzi yakinifu utatupatia msingi wa kitaalamu wa kubaini namna bora ya kutekeleza mradi kwa kuzingatia mahitaji ya wananchi na ukuaji wa jiji la Dar es Salaam.” Maefafanua zaidi Mha. Machibya Shiwa.
Reli hiyo inatarajiwa kupunguza muda na gharama za safari pamoja na msongamano wa magari na kuwawezesha wananchi kufika kwa urahisi kwenye maeneo ya kazi, biashara na huduma.
Kwa mujibu wa Mhandisi Shiwa, kiuchumi, mradi huo utaongeza ufanisi wa biashara, kufungua fursa za ajira na uwekezaji na kuongeza thamani ya maeneo yanayohudumiwa na reli na kupunguza hasara zinazotokana na muda unaopotea katika foleni.
Kwa mtazamo wangu kama ubongo wako ubashindwa kuhandle multiple tasks kwa wakati mmoja, mfano tunajadili Katiba mpya halafu Wema Sepetu kajifungua anaacha mjadala wa Katiba unahamia kwa Wema huku ukilalamika kabisa "tunatolew kwenye mjadala" basi wewe kutawaliwa na Ccm sio makosa bali ni halali yako kabisa.Porojo za kuwaondoa wananchi kujadili maswali muhimu.
Nakubaliana nawe kabisa, lakini nakuachia wewe mjadala wa kujifungua UKwa mtazamo wangu kama ubongo wako ubashindwa kuhandle multiple tasks kwa wakati mmoja, mfano tunajadili Katiba mpya halafu Wema Sepetu kajifungua anaacha mjadala wa Katiba unahamia kwa Wema huku ukilalamika kabisa "tunatolew kwenye mjadala" basi wewe kutawaliwa na Ccm sio makosa bali ni halali yako kabisa.
AMAANITHI WA AKILI AMWEZI KUNIELEWA ....Mabasi ni rahisi kuhujumiwa na kuhalibika nk ila tram no treni ...ukitumia akili mabasi ya brt phase 1 yamekufa asilimoa 85 kwa sababu mabasi yana itaji matengenezo ya mara kwa mara na mataili yanahalibika kila miezi.Duuuh machizi ni wengi
Mzaha siyo mzaha? - HK Nje ya boxinayotarajiwa kufanya upembuzi yakinifu (Feasibility Study) ya mradi wa reli za mjini (Monorail) Jijini Dar Es Salaam
Watafidiwa kikubwa pesa tuHaya mambo tulianza kuyasikia enzi Malecela akiwa PM...
Sasa mji ushajengwa holela holela sijui hizo reli watazipitisha wapi...
Kazi iendelee