TRC yafanya kikao chake cha kwanza kuelekea Ujenzi wa Reli ya Mzunguko Dar Es Salaam

Hizo reli zitapita juu, chini ya ardhi, au pembezoni mwa mji? Kwa maana zisije zikapita katikati ya mji na hivyo kugeuka kuwa chanzo kingine cha foleni kwa waendesha vyombo vya moto hususani magari.
Najua zinakopita na nimewahi viwanja huko,nilipenyezewa na mshkaji wangu yuko ofisi nyeti
 

Mradi wa kipumbavu kabisa huo ....wangekuwa na akili basi ..badala ya huo mradi wangefanya BRT PHASE 3 NA 4 NA KUENDELEA ZIWE NI TRAM TENA ZA UMEME ...tija ya kujenga tram za umeme ilikuwa ni nyingi na kubwa ...sasa hivi inatakiwa tufocus kwenye usafirishaji wa umeme badala ya mafuta ....BRT NI PROJECT YA KIPUMBAVU...
 
Duuuh machizi ni wengi
 
Tamthilia ya ISINDIGO ni ndefu sana
 
Porojo za kuwaondoa wananchi kujadili maswali muhimu.
Kwa mtazamo wangu kama ubongo wako ubashindwa kuhandle multiple tasks kwa wakati mmoja, mfano tunajadili Katiba mpya halafu Wema Sepetu kajifungua anaacha mjadala wa Katiba unahamia kwa Wema huku ukilalamika kabisa "tunatolew kwenye mjadala" basi wewe kutawaliwa na Ccm sio makosa bali ni halali yako kabisa.
 
Nakubaliana nawe kabisa, lakini nakuachia wewe mjadala wa kujifungua U
Wema Sepetu.
Usisahau jukumu lako la kupeleka uji wa mama na maziwa ya mtoto.
Mengine tuachie Great Thinkers!
 
Duuuh machizi ni wengi
AMAANITHI WA AKILI AMWEZI KUNIELEWA ....Mabasi ni rahisi kuhujumiwa na kuhalibika nk ila tram no treni ...ukitumia akili mabasi ya brt phase 1 yamekufa asilimoa 85 kwa sababu mabasi yana itaji matengenezo ya mara kwa mara na mataili yanahalibika kila miezi.
 
Huyu jamaa amepiga maneno matupu akaishia kutupa taulo kwa kusema ooh Sekta binafsi ichangamkie!!! hakuna kitu hapo..ingekua jembe Magufuli mngeona kazi inapigwa moja kwa moja....

Hii ni bla bla tu hakuna kitu hawa wanaweza kufanya....
 
Ila Tanzania ni nchi ya ajabu sana kutokea hapa duniani, badala waboreshe mwendokasi kwa kuongeza mabasi na njia zingine jijini ili usafiri uwepo masaa yote na wa uhakika, wanarukia mradi mwingine si bora basi huo mpango wa reli mjini wangeufanya kwa miji mingine kama Dodoma au hata Arusha kuiunga na Moshi mpaka KIA hapo. Hii nchi watu wamesoma lakini akili zao ni kama za watoto wa kindergarten...aaaaargh.
 
Kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…