Sijaelewa hii taarifa, kwanza wamekiri kuipa kazi kampuni husika na kisha kuvunja mkataba.
Je kabla kabla ya kuvunja mkataba kazi ilikua imefanyika kwa asilimia ngapi?
Je walikua wamelipa kiasi tajwa cha fedha?
Je malipo yaliyokwishafanyika wamerejeshewa?
Huyu mkandarasi mpya anaendeleza kazi hiyo ama anenda kufanya kazi mpya?
Je hatuoni tumepoteza muda mrefu na ni hasara kubwa kwa serikali na taifa kwa ujumla maana tunajenga na kununua mabehewa na vichwa vya treni kwa mkopo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.