TRC yaomba radhi Treni ya Mchongoko Dar-Dodoma kusimama ghafla kati ya Pugu na Soga

Eneo hili miaka yote huwa namijusi na vyura wengi sana wanaosababisha magurudumu yateleze.
 
Watanzania siku zote tunafanya kazi kwa matukio, hatuna mipango n amipangilio.

Kwente taratibu na sea tuefeli kabisa. oi atingwa kwenye makaratasi tu, hazina uhalisia.
 
Abood na Shabiby wana maoni gani?
Kuna moja imesikika usiku wa saa 9 sijui ilikuwa inatoka wapi na kwenda wapi muda huo
 
Watanzania siku zote tunafanya kazi kwa matukio, hatuna mipango n amipangilio.

Kwente taratibu na sea tuefeli kabisa. oi atingwa kwenye makaratasi tu, hazina uhalisia.
Yatakoma siku yakivunjwa majukwaa yote ya siasa tukabakia kupimwa kwa vitendo badala ya maneno
 
Yatakoma siku yakivunjwa majukwaa yote ya siasa tukabakia kupimwa kwa vitendo badala ya maneno
Hiyo ni wishful thinking.

Mimi nakushauri anza kuvunja kwenye nafsi yao na ishi vile unavyoona wewe sawa, usiwe kondoo wa kungoja kufanyiwa na wengine kila kitu.
 
mchongoko uko vizuriii mazee....nimepiga haja zote mlee na nimejihisi vizuri sana kama mtanzania mlipa ushuruu....ila tuekewe maji ya kutawaza mleee, sio unatoka kwa mchongoko ukinuka mafwiii ...hasa apo maeneo ya puguuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…